Lowassa kuhutubia saa 3 usiku huu ITV

Kikwete na Magufuli walikuwa wanatoa kichwani..ufala
 
Tuliposema ukawa wamechemsha wafuasi wametokwa povu, viongozi wa UKAWA wameliona hilo sasa wanataka kufidia hayo lowassa atahutubia usiku huu saa 3 kupitia ITV chanzo twitter account ya ITV

Aaaaaaa wamegundua makosa
 
Hakuwa anahutubia - alikuwa anaisoma hotuba - neno kwa neo - inaonyesha kabisa kuwa ameandikiwa. Maana hawezi hata kuelezea kidogo - ni kusoma tu - neno kwa neno.
 
Kwa sera hizi mtu atakaye chagua ccm, akapimwe akili kwani magufuli analalamikatu mikakati hakuna full uongo..
 
Taarifa muhimu kama hizi zinapaswa kutolewa na Makene or somebody kwenye kitengo cha habari cha CHADEMA. Au nawe mwanaKibosho ni msemaji wa chama? Kwa nini kitengo cha habari cha CHDM kipo kama hakipo? What is going on?

Mtavurugwa sana mwaka huu ma ccm
 
Kila mgombea ana staili yake yakujinadi,hili la kutoa sera kupitia televisheni wakati watu wametulia,ni ya pekee na tumpongeze rais wetu mtarajia EL.Jangwani ilikua ni mahali pa kuzindua,shamrashamra na kumtambulisha Mgombea urais wa Chadema kwa umma. Kura yetu tumpe Lowasa.
 
Hana jipya,wameshindwa kuitambulisha ilani,anakaa ku quote mambo ya blair eti elimu,elimu elimu! malofa bwana,wenye elimu(kujitambua) dk slaa na lipumba waliyaona haya! haha mazombi yameungana
 

Mkuu lowasa na team ukawa nimewavulia kofia kwa mbinu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…