Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,113
- 285,861
mkuu nakuheshimu sana
magufuli wala anijui kama kuna mtu kama mimi duniani ila nachokwambia mkuu ni ukweli na ukweli utabaki kuwa ukweli daima,
Wanaotaka kujua Sera za ukawa na zinatajwa sasa .Wanahemuka ivyo wawe standby kujua zitatekelezwaje.siyo mtu anaingia baadae hapa na hoja mfu
Raisi alikuwa anahutubia taifa ameshamaliza sasa tunaangalia yaliyotokea uwanjani leo umeme walitufanyia hujuma.
POMBE TUTAMWAGA NA MAGUFULI TUTAVUNJA IKULU LOWASA ANATOSHA.
Miaka yangu 50+ hapa duniani sijaona Rais mwenye akili mingi kama Mh.LOWASSA. The Guy is Going Digital...
Hakuwa anahutubia - alikuwa anaisoma hotuba - neno kwa neo - inaonyesha kabisa kuwa ameandikiwa. Maana hawezi hata kuelezea kidogo - ni kusoma tu - neno kwa neno.
Huu ni utapeli wa kisiasa..kwanza hotuba na ilani siioni kwenye website ya chama, thn hii ni recorded sio live....daaah sikutegemea hili.
Lowassa ulikuwa wapi masaaa yote?
WEWE UMESHINDWA KUSIMAMA KWASABABU NI MGONJWA, HALAFU UNAKUJA KUDANGANYA WATU KWENYE TV.
MLIKUWA MNA SIKU NZIMA JANGWANI SASA MNAKUJA NA VISABABU NJAA ETI MUDA HAUTOSHI?
ULIKUWA WAPI TOKEA SAA NANE MCHANA?
Kula. Like mkuuu
Huo Ubest wake kwenye nini??Daaaah to honest magufuri is the Best shida ni chama alichopo tu.
MAGUFULI HAJUI KAMA NIKO DUNIANI MKUU
BALI NAMKUBALI SANA NI MTU SAHIHI TUMPE KURA ,
MWINGINE AMBAYE NILIKUWA NAMKUBALI ILI WAMEFITINI NI DR SLAA ILa NAAMINI MUNgU ATANIPA MAGUFULI MBADARA WAKE AMABYE,
mimi sio mfasi wa vyama bali mtu sahihi,
ITV atawahutubia nani tena? vibaka , mama ntilie na madereva wa bodaboda? hao saa hizi wako bize na mambo yao: vibaka leo hawakukaba wakisubiri ufumbuzi wa matatizo yao, mama ntilie hawakuuza nao wakisubiri ufumbuzi wa matatizo yao na madereva wa bodaboda hawakufanya biashara yoyote wakisubiri hutuba ya mgombea iwape majibu ya matarajio yao, matokeo yake wanaanmbiwa wakasome hotuba kwenye tovuti ya chama, bravo mbowe I can now see changes, kutoka hotuba za jukwaani, mpaka tovutini, hii ni hatua kubwa