TAARIFA MUHIMU; Lowassa kuhutubia live usiku huu; Mgombea Urais wa CHADEMA ambaye pia anawakilisha UKAWA, Edward Lowassa atahutubia taifa usiku huu moja kwa moja kupitia Kituo cha Televisheni cha ITV mara baada ya taarifa ya habari. Hii itakuwa Kwa ajili ya Watanzania ambao kutokana muda kuwa mfupi hawakupata fursa ya kusikia hotuba yote aliyopanga kuitoa leo Kwenye mkutano wa uzinduzi wa kampeni za kitaifa za CHADEMA na UKAWA.
Lowasa hana uwezo wa kuongea kwenye public. Anachoweza ni kufisidi tuYaani katika cku ambayo nimeumia na kujickia vibaya ni Leo ..chadema imetutia aibu wanachadema ..haiwezekan lowasa atuambie mda hautoshi na huku huku tukiona akina tambwe ,mrema na wengine wakizungumza kwa mda mwingi kuliko hata lowasa
lowasa hawezi kuhutubia. Wanataka kurudia mkutano wa ufunguzi wa kampeni uliofanyika leo pale jangwani
sikushangai kwa umbea na gubu kama ndugu wa mume!Lowasa hawezi kuhutubia. Wanataka kurudia mkutano wa ufunguzi wa kampeni uliofanyika leo pale Jangwani
Taarifa muhimu kama hizi zinapaswa kutolewa na Makene or somebody kwenye kitengo cha habari cha CHADEMA. Au nawe mwanaKibosho ni msemaji wa chama? Kwa nini kitengo cha habari cha CHDM kipo kama hakipo? What is going on?TAARIFA MUHIMU; Lowassa kuhutubia live usiku huu; Mgombea Urais wa CHADEMA ambaye pia anawakilisha UKAWA, Edward Lowassa atahutubia taifa usiku huu moja kwa moja kupitia Kituo cha Televisheni cha ITV mara baada ya taarifa ya habari. Hii itakuwa Kwa ajili ya Watanzania ambao kutokana muda kuwa mfupi hawakupata fursa ya kusikia hotuba yote aliyopanga kuitoa leo Kwenye mkutano wa uzinduzi wa kampeni za kitaifa za CHADEMA na UKAWA.
Lowasa hawezi kuhutubia. Wanataka kurudia mkutano wa ufunguzi wa kampeni uliofanyika leo pale Jangwani