Lowassa kuchunguza Ufisadi Meremeta!

Lowassa kuchunguza Ufisadi Meremeta!

Gamba linatakiwa kuchunguza gamba. Fisad anapewa tenda ya kuchunguza ufisadi. Mwizi anapewa tenda ya kuchunguza wizi. Usanii mtupu.
 
Lowasa aichunguze meremeta? Kweli maajabu hayatakaa yaishe ndani ya nchi hii.

Sasa zito kama mtoa hoja, na hajaridhika na uamuzi wa spika kuhamishia kazi ya uchunguzi wa meremeta kwenye kamati ya ulinzi na mambo ya nje, ambayo ina usiri mkubwa, anafanya nini ili kuhakikisha kwamba kunakuwa na uwazi na hatimaye ukweli unajulikana?
 
Nyambala;2441418]Mambo ya bongo bana, hata ukiwa na gunia la popcorn for a weekend utalimaliza whilst episode after episodes will still be rolling on!!!!!!!!![
Steve Dii;2441266]Just when you thought it's stopped raining, a hurricane has gotten under way...!![
Fisi kaajiriwa kulinda bucha ya nyama
 
Watanzania tunapenda sana kusoma mambo juu juu..watu mmeambiwa kuwa suala la meremeta limepelekwa kwenye kamati ya bunge ya mambo ya nje,ulinzi na usalama (ambayo Lowasa ni mwenyekiti) ila si lazima suala hili lishughulikiwe na Lowasa (hii ni kama atakuwa mgonjwa) kwakua kwenye kamati hii kuna Makamu mwenyekiti na wajumbe wengine...!
 
It wont work bana,mbona hawa wanatufanya sisi ni mandondocha????Pinda mwenyewe alisha sema bora asulubiwe kuliko kutoa siri za meremeta sasa mtendaji mkuu wa serikali anasema hivyo details kwa hao wanaokwenda kuchunguza watazipata wapi usalama wa taifa si watazificha zote????haya ni maigizo tu.
 
Fisi kaajiriwa kulinda bucha ya nyama
Nguruvi3, na wengine msiomuaminia EL, mimi ni miongoni mwa waumini wa set a thief to catch a thief, na kwanye nchi ya wachawi ambao hula watoto wadogo, ukitaka mwanao abaki salama, mkabidhi mchawi akulelee!.

EL ni mhanga wa kichapo cha kamati teule ya bunge hivyo ameshaumwa na nyoka, all this time hata kuomba uenyekiti wa kamati nyeti ya ulinzi na usalama was his quest to seek an opportunity to retaliate, hivyo sasa kama ndio amepewa rungu, he'll hit then hard where it hurt most!.

Nawaombeni sana wanabodi wenzangu, msihukumu kabla ili nanyi msije kuhukumiwa na wala usihukumu kesi mpya kwa makosa ya zamani.

EL fisadi ni yule EL aliyekuwa na uhakika baada ya JK ni yeye. EL aliyepewa uchunguzi wa meremeta ni EL mwingine ambaye anasubiria kusulubiwa na chama chake kwa kuvuliwa gamba. Huyu ni EL ambaye hana hata uhakika wa hatma yake ndani ya chama chake, in short he is destitute. In such a situation atafanya chochote kujiikoa na ili kuwa provia Watanzania kuwa kwenye Richmond alisingiziwa na kuonewa bure, kwenye hili, atafanya kweli and he'll really hit'em hard!.
 
Huyu fisadi ilikuwa majuzijuzi tumeambiwa ana kiharusi, leo aongoze kamati kuchunguza wezi wenzie, nilikuwa nasubiri kuona namna watakavyomsevisha 'rais' wao huyu wa 2015, sasa kila kitu kiko wazi hata kwa layman. Maana ya kuchunguza hilo ni kuwa awepo hata kwenye mawasilisho yake kwenye bunge lijalo, hapo ule upuuzi wa kujivua gamba labda sasa uwe kujivua mifupa. Tulipopiga kelele spika kupachikwa na mifisadi hii tulionekana wapayukaji tu sasa kila kitu kinajieleza. Hawa jamaa wanapenda mno kujificha kwenye kanuni na taratibu kandamizi za bunge letu, tangu lini kesi ya nyani hakimu awe ngedere, kosa lilifanywa makusudi toka mwanzo kumuweka mwizi huyu kwenye kamati nyeti kama hiyo hali akiwa kachafuka kinyesi mwili mzima, hata iweje hawezi kusafishika, tafakari!
 
R. Kelly ' I believe in the sky, I believe in the angels....and I believe in you'

It is a risk to believe in ENL, yet more risk to believe in the duo Pnda and JMK, but most risk to believe in 'meremeta'. Let's take the risk, for the interests of our nation!
 
Sipati picha kamili ni kwa vipi mtuhumiwa wa ufisadi ataweza kuwakamata mafisadi wenzie. Nasema hivi ukute EL ana madhambi mengine hatujayajua!
Ubavu wa kupoint an accusing finger to his fellow fisadi hana na hawezi kuwa nao.
I can't even imagine EL uttering a word 'fisadi' that'd be coming down deep from his heart! Never....
 
Wahenga walisema Kesi ya nyani usimpe ngedele ................walikuwa wanajua wazi kuwa hawa ni ndugu hivyo hawawezi kudhruliana, kilichofanyika hapa ni kumweka Lowassa ili serikali mwisho wa siku ijisafishe. Serikali ijue kuwa watanzania sio watanzania wale inaowafkiria... ipo siku serikali itatoa mlio as ya Libya, Misri, Tunisia et al. .....................You can fool people all the time but not every time. twendeni tu!!!
 
Haya mambo ya kisingizio cha Usalama wa taifa ni kichaka cha ufisadi.

serikali ijiulize kama UK wangekuwa hivyo je Tanzania ingejua ukweli wa sakata la BAE na Radar ? Maana BAE ni kampuni ya jeshi la UK. Kusingizia Usalama wa taifa in long run watakuta hayo mambo wanayoficha ficha ndo yanachochea Maasi kwa taifa.

Hata UK walikuwa hivyo zamani lakini karne ya sasa ya sayansi na teknoljia Seriali ikiwa too secretive na too close kutoa info kwa kisingizio cha usalama wa tiafa ijue inajihatarishia uhai wake .

Wanasiasa wa Tanzania should have good brain kuona , kutumia experience na kujifunza mambo kama hayo yanayoendelea sehemu mbali mbali duniani. Otheriwise wanasiasa wetu bado wanadhani tuko mwka 1980. Itawacost

Hata serikali ya USA ina utaratibu wa ku declassify intelligence info baada ya muda fulani.....
 
Nimecheka sana leo baada ya kusoma hii na ile ya Liyumba kuwa na simu kule jela,na mtakumbuka pia Zombe pia alikuwa na simu jela enzi za kesi yake,kuanzia sasa siogopi kwenda jela si ntakuwa bado napata JF kwenye simu yangu bana hahaha!
 
I laughed,laughed and laughed. I laughed ,laughed and laughed cause so many things have happened i cannot cry anymore.
 
Nguruvi3, na wengine msiomuaminia EL, mimi ni miongoni mwa waumini wa set a thief to catch a thief, na kwanye nchi ya wachawi ambao hula watoto wadogo, ukitaka mwanao abaki salama, mkabidhi mchawi akulelee!.

EL ni mhanga wa kichapo cha kamati teule ya bunge hivyo ameshaumwa na nyoka, all this time hata kuomba uenyekiti wa kamati nyeti ya ulinzi na usalama was his quest to seek an opportunity to retaliate, hivyo sasa kama ndio amepewa rungu, he'll hit then hard where it hurt most!.

Nawaombeni sana wanabodi wenzangu, msihukumu kabla ili nanyi msije kuhukumiwa na wala usihukumu kesi mpya kwa makosa ya zamani.

EL fisadi ni yule EL aliyekuwa na uhakika baada ya JK ni yeye. EL aliyepewa uchunguzi wa meremeta ni EL mwingine ambaye anasubiria kusulubiwa na chama chake kwa kuvuliwa gamba. Huyu ni EL ambaye hana hata uhakika wa hatma yake ndani ya chama chake, in short he is destitute. In such a situation atafanya chochote kujiikoa na ili kuwa provia Watanzania kuwa kwenye Richmond alisingiziwa na kuonewa bure, kwenye hili, atafanya kweli and he'll really hit'em hard!.
May be, may be not.
Lets not jump to the conclusion.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom