ha ha haMie naomba address yao niombe kazi bwana, wahenga walisema "baniani mbaya kiatu chake dawa"
Acheni roho mbaya ya chuki,mbona fisadi nyangumi anamiliki televisheni 3,redio 3 na magazeti lukuki na hamzungumzi habari zake?Kuweni wabunifu katika masuala ya kuendeleza Taifa letu si kuangalia fulani kala nini!
Vita ya fikra ni ngumu kuliko ya risasi za moto. JF ni mfano dhahiri. Kwa vile Rome haikujengwa kwa siku moja, basi nasisi tutafika tu. Walikuwepo kina Shah Iran, wakapotezwa, wakawepo kina Marcos Philippines nao wakapotezwa, its only a matter of time.
The clock is ticking.... The writting is on the wall.
Hata nami. Ningependa kutinga huko katika Luninga ya Arusha kwa vile napenda harakati za Kamji hako.Mie naomba address yao niombe kazi bwana, wahenga walisema "baniani mbaya kiatu chake dawa"
hivi wewe unamjua Mwanakijiji vizuri kweli? kwa taarifa yako Mwanakijiji ni Ndumilakuwili achelewi kukugeuka mda wowote,pia anatumiwa na baadhi ya watu kwenye shughuli zao.Hivyo kuweni makini nae sana hasa Thread zake anazo anzisha ilikupima upepo wenu then anapeleka report kwa wahusika.be care full guys.
Josm,
Mwenzetu hata Kiswahili hufahamu. Wahaya wanasema "Usijigambe mbele ya Wagambirwa". Sasa nani hapa kasema ANAMJUA Mwanakijiji? Anayemjua Mwanakijiji ni Mkewe (na nyumba ndogo kama zipo au X-Wake). Hapa wengine wanamfahamu tu Mwanakijiji.
Maandishi ya mtu kwa asilimia kubwa huonyesha huyo mtu ni wa aina gani. Mwanakijiji yuko USA, FMes yuko USA, una uhakika gani hawa watu hawafahamiani? Pia juzi tu FMes aliandika kuwa alionana na Mwanakijiji Tanzania. Humu kwenye mtandao wapo karibu kila siku ya Mungu. Je unauhakika kuwa hawana mawasiliano zaidi ya haya ya wavuni?
Sasa tuje kwako. Wewe ni secretary wa Mwanakijiji? Maana inaonekana unafahamu hadi anatumiwa na nani? Nani anamlipa hela? Yeye ni ndumilakuwili, je ulishaona hivyo vichwa vyake vyote na kuthibitisha hivyo?
Kama kuna mtu atasema kuwa ANAMFAHAMU mwanakijiji na nisipinge basi hapa wavuni wanafahamika na katika hao wewe haumo maana ungelikuwemo, basi ungelikuwa unafahamiana na FMes na Mwanakijiji pia na usingeliandika PUMBA nyepesi kama hizo juu ambazo hata Nguruwe mwenye njaa atakataa kuzila.
duh hio tuhuma nzito,you need to be more open.i would like to know nani anamtuma na for what purpose etcNakubaliana na wewe kuwa sikijui kiswahil.Unajua siku zote huwa na sema mtu usiongee kitu usicho kijua usije jikuta kwenye matatizo bure.najua wewe unamshabikia Mwanakijiji kwa kuwa makala makala zake zina kuvutia,ungejua yeye anatumiwa hizo na makala halafu yeye ana copy na kupaste hapa.sitaki kuongea mengi kuhusu Mwanakijiji nisije onekana nina nia mbaya nae au nime tumwa,maana waswahili hamchelewi.maandishi ya rangi nyekundu hapo juu: hapa atupo kutukanana au kakashifiana bali tupo kujenga hoja na kuelimishana pamoja na kukosoana.
hivi wewe unamjua Mwanakijiji vizuri kweli? kwa taarifa yako Mwanakijiji ni Ndumilakuwili achelewi kukugeuka mda wowote..
Jamani pamoja na siasa, nawapongera watanzania wote ambao wanawekeza hapa nyumbani. Uchumi wetu hauwezi kujengwa na the so called 'Wawekezaji' utajengwa na sisi wenyewe. Hivyo wote wenye vijisenti please fungulieni watoto wenu miradi mikubwa. Taratibu na sheria zote za nchi zitumike kuwaangalia, kukikwamua ni sisi WENYEWE.
Source:
Daily News, Friday, 24th October 2008, Page 22.
Public Notice
Application for Content Services Licences (Broadcasting Licences) to TCRA.
Name of Station:
ABC Television
P.O. Box 11843
Arusha
Shareholders:
Robert Francis Lowassa (Tanzanian) - 60%
Elias Stephen Kordun Lukumay - 40%
HIvi ni wapi wameandika Rober Francis Lowassa ni Edward Ngoyai Lowassa??
Kwanini Mh.ENL anapenda ya mwanzo kama Alpha na ABC ??
Mie naomba address yao niombe kazi bwana, wahenga walisema "baniani mbaya kiatu chake dawa"
Nakubaliana na wewe kuwa sikijui kiswahil.Unajua siku zote huwa na sema mtu usiongee kitu usicho kijua usije jikuta kwenye matatizo bure.najua wewe unamshabikia Mwanakijiji kwa kuwa makala makala zake zina kuvutia,ungejua yeye anatumiwa hizo na makala halafu yeye ana copy na kupaste hapa.sitaki kuongea mengi kuhusu Mwanakijiji nisije onekana nina nia mbaya nae au nime tumwa,maana waswahili hamchelewi.maandishi ya rangi nyekundu hapo juu: hapa atupo kutukanana au kakashifiana bali tupo kujenga hoja na kuelimishana pamoja na kukosoana.