Elections 2015 Lowassa kuandika historia ya pili jijini Mwanza kesho

Uchaguzi ungekuwa unafanyikia hapa JF bila shaka Eddo angekuwa Magogoni tayari. Ishu ni huko vijijini wapendwa. Wapiga kura hawako JF wala mijini. Kamwe msilisahau hili na mkija kushindwa msishangae!
 
  • Thanks
Reactions: nao
Nyie jidanganyeni tu na mafuriko ya kutengeneza, wasukuma watamchagua ndugu yao kwa wingi sana. Muulize mama lowassa na Salum mwalimu kilichowakuta huko. Tar 26 mje hapa mniprove wrong


Wasukuma Magufuli ndugu yao kivipi wewe pimbi?
 
Nyie jidanganyeni tu,, uzuri wa siasa za maigizo ni wazembe kufa au kuishia jela...hizi mbinu za kitoto zilishapitwa na wakati ndio maana wenzenu wanawashambulia kimya kimya mpaka mwisho....
watanzania wamesahau media na mafuriko ndio uongo uliompeleka JK ikulu, uongo huu ndio ulimtisha mkapa mpaka rais akawa JK baadala ya SALIM AHMED SALIM, tumeshaamua WANAMTANDAO BASI TENA KWENYE TAIFA HILI HATUWAHITAJI,, NI zamu ya wazalendo sasa kuongoza ndio maana tukamleta JPM,,, wanamtandao hawana nafasi tena hapa tanzania labda muende malawi,,, wamekuja na majina mapya sasa,, 4U movement,friends of lowassa, wanamabadiriko nk lakini ukweli utabaki palepale hawa ndio wanamtandao kwa majina mapya... IMETOSHA...
 
kama hutojali shoga mp wasap nikurushie manjonjo ya maandalizi yaani ni zaid ya utamu. Staki kurushaa hapa kabla ya tukio lenyewe ahaaaa watu na madila yetu kesho ni kukatika mpaka basiiiii.

Karibu mwanza nkupikie sato

The good things Mnajijua UKAWA Mashosti .....
 
watu wanaishi kwa ndoto mama regina lowasa sijui anajisikiaje pale mama janeth magufuli akiwa na first lady wa vietnam subirini miaka mingine mitano pale utakapoitishwa uchaguzi mwingine naomba Mungu atuweke hai mshuhudie poromoko kubwa la lowasa ndio mtaamini mlikuwa mnaota ndoto ya mchana
 
Muwe munaweka mahaba pembeni ndiyo mnapost huo ujumbe wenu tutasoma tu hata bila kupotosha mambo kaisimamisha wapi au mambo ya uchwala
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom