Lowassa kapita dirishani kwangu


Basi mko na shida watu Goms lakini wengine huko waelewa Leo ndio anakuja kujifunza taabu zenu amewaamkia? Ngoja apate madaraka ndio mtawajua na mfunzeni Juma duni salaam yenu bado anajua yuko CUF na haaki
 
Una bahati sanaaaaaaaaa

Mwana pekee wa Mungu kwa sasa kapita karibu yako... ungeoomba akupe mkono tuuu.

Utapata kila kitu maishani mwako...

Daaahh
 
Sanaa nyingine hio tumemzoea huyu comedian,wakati ule bado yupo CCM alikua anawalipa watu pesa ili waje nyumbani kwake waigize kwamba wanamuhitaji awanie uraisi nakuaandaa midea wakifika tu atuoungopee.Hii tushastukia aendelee tu kuzurura ila awe makini na afya yake na huko kuzurura isije mtokea puani
 
Mwaka maccm mtaendelea kujiharishia kila kukicha,nasikia mshaanza kuuza petrol stations zenu na hadi mkimbie hii nchi,lowasa ndio rais wetu


Sio raisi wetu umekosea. ni raisi wako
 
Majibu mazuri👍✌🏿️
 
Mh sasa hii ni danganya toto,ina maana anatufanya wtz ni nambumbu kabisa?mbona alipokua waziri wa maji,waziri wa kilimo na waziri mkuu na mafisadi wenzake wa ccm hakupanda na sisi daladala?WIZI MTUPU!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…