Kweli mdau,hata rais wa sasa anatembeza BAKULI KWA KISWAHILI,ANAHUTUBIA UN KWA KISWAHILI KIZUUUURI KABISA,HATA ALIPOKUJA RAIS WA CHINA MWENYEJI WAKE ALIONGEA KISWAHILI SANIFU KABISA,UJIO WA OBAMA ULIONESHA MATUMIZI MAZUUR YA KISWAHILIUsiwe Mtumwa wa Fikra! Kwani kiingereza ndo inaendesha nchi? Rais wa China anaongea Kiingereza? Think twice..
Kwa hiyo kabla ya hapo ilikuwa inatawala chadema au cuf? low iqSisiemu ilizaliwa 1977 wewe, acha kupotosha watu, sio 1961.
vp ataongeza dakika za kuhutubia au zilezile tatu na tano?? zilizopita hazikuwa kampeni? je hakuwafikia watu?? dalili za kushindwa hizi
Wazazi wakeSisiemu ilizaliwa 1977 wewe, acha kupotosha watu, sio 1961.
kampeni kabambe???,kwahiyo badala ya kuongea dakika 2,ataongeza walau ziwe 3 au?
Mgombea wa Ukawa Ndg. Lowassa amenukuliwa akisema kwamba kampeni wanazofanya kwa sasa ni rasharasha tu. Na kampeni za nguvu zitaanza rasmi tarehe 1.10.2015...
Kuanzia tarehe 1.10.2015 Ukawa watafanya kampeni ambazo hazijawahi kutokea katika nchi hii, hii ya sasa ni rasharasha tu....... amesema
Itakuwa ni kampeni ya kuhakikisha kila kona ya nchi, vijiji vyote, vitongoji vyote vinafikiwa. Ni kampeni ambayo kila mwananchi atapata ujumbe wa safari ya mabadiliko..... Waswahili wanasema itakuwa ni kampeni ya "kufa mtu"
Kama tunavyojua lengo kuu la kampeni hizi ni kuwafikia wananchi wengi na kuwambia muda wa mabadiliko ni sasa, ni wito kwa wananchi wote wapenda mabadiliko kuungana na umoja wa Ukawa kwa kuzidi kueneza ujumbe wa mabadiliko ili tarehe 25.10.2015 tukingo'e chama kilichoshindwa kuleta mabadiliko kwa zaidi ya miaka 54....
Mytake:.. Majirani zetu nafkiri kuanzia tarehe 1.10.2015 watalazwa wengi sana...
Basi hakuna haja ya midahalo! kwani rais wa china lini alifanyaUsiwe Mtumwa wa Fikra! Kwani kiingereza ndo inaendesha nchi? Rais wa China anaongea Kiingereza? Think twice..
kampeni kabambe???,kwahiyo badala ya kuongea dakika 2,ataongeza walau ziwe 3 au?
Usiwe Mtumwa wa Fikra! Kwani kiingereza ndo inaendesha nchi? Rais wa China anaongea Kiingereza? Think twice..
uitwishe mdahalo na taasisi huru tena ya wazungu watupu kati ya magufuli na lowassa
mdahalo ili uwe huru usiendeshwe na watanzania...kwa maana hawa jamaa wajieleze tena kwa kingereza mbele ya taasisi itakayoandaa huo mdahalo
uitwishe mdahalo na taasisi huru tena ya wazungu watupu kati ya magufuli na lowassa
mdahalo ili uwe huru usiendeshwe na watanzania...kwa maana hawa jamaa wajieleze tena kwa kingereza mbele ya taasisi itakayoandaa huo mdahalo
mambo ya ajabu sana,yaani zibaki wiki tatu ndo uanze kampeni za hatari na utarajie kucover nchi nzima?,,,,
wakati hata human resource hawana ya kutosha?