Lowassa: Kampeni "kabambe" kuanza rasmi tarehe 1.10.2015

Lowassa: Kampeni "kabambe" kuanza rasmi tarehe 1.10.2015

[h=2]Kampuni ya waisrael yatoa mafunzo ya kikomando kwa walinzi binafsi wa lowassa[/h]
Taarifa za uhakika zimevuja zikieleza kuwa Kampuni ya MAX SECURITY SOLUTION ya nchini Israel imelipwa milioni 450 za Kitanzania kwa ajili ya tenda ya kuwapatia mafunzo ya ulinzi wa viongozi, walinzi binafsi wa mgombea Urais kupitia Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) ndugu Edward Lowassa.
Mafunzo hayo yanayoongozwa na Mwalimu wa Kiisrael aliyetajwa kwa jina moja la Shaul yanafanyika katika nyumba iliyoko maeneo ya Mbezi Beach. Baadhi ya vijana ambao wanaendelea kupokea mafunzo hayo ni pamoja na: Evance Benno Munembuka anayetumia namba ya simu ya mkononi (0717 291 979), Keneth Kunambi (0767 838 218, 0716 838 218), Yohana Sitta (0789 918 088), Buhimira Golani Mboje maarufu Spencer (0757 200 002), Kombo Mohamed (0717 030 311) na Saimon Chamila (0752 882 462).
Wengine ni Ramadhani Magambo (0719 230 945), Msila Kombo (0713 746 181), Edward Iteba (0754 209 323), Johnstone Malunda (0758 758 183), Josephat Sosphter (0765 073 135) na Mussa Burhan (0786 185 881). Wanyetishaji wamezidi kueleza kuwa miongoni mwa mafunzo ambayo vijana hao wamepewa ni pamoja na namna ya kutengeneza ‘uzio’ wa kumzunguka Lowassa akiwa katika halaiki ya watu, ulinzi wa gari lake, jinsi ya kutembea na kiongozi kwenye msongamano wa watu, namna ya kuwasiliana na namna ya kumuokoa kiongozi wao inapotokea ‘hatari ya ghafla’.
Hata hivyo, imezidi kunyetishwa kuwa, walinzi hao wanaokaa kwenye Hoteli ya B & B ya Mikocheni huku wakilipwa shilingi laki tano kwa mwezi, wameambiwa wawe ‘tayari hata kutoa roho ya mtu’ iwapo mazingira yataruhusu.
Ingawa haikuelezwa iwapo kuna hatari yoyote ambayo wanadhani inamkabili kiongozi wao na kwanini tahadhali hiyo isitolewe kwa Jeshi la Polisi iwapo kuna tishio kubwa kama hilo, wanyetishaji wanasema kuwa kambi ya Lowassa imejiapiza kuwa vyovyote iwavyo ni lazima waingie Ikulu.
Apson Mwang’onda, mkurugenzi mstaafu wa Idara ya Usalama wa Taifa, ndiye anatajwa kuwa msimamiaji mkuu wa suala zima la kuletwa kwa wakufunzi hao wa Kiisrael huku walinzi hao wa Lowassa wakipokea maelekezo moja kwa moja kwa kiongozi wao anayetajwa kwa jina la Aloyce Patrick Tendewa.
Ni wazi kuwa taarifa hizi ni muendelezo wa taarifa za awali zilizowahi kuripotiwa na baadhi ya magazeti na mitandao ya jamii kuwa katika moja ya mikakati ya muda mrefu ya Lowassa, ni kuandaa kundi la vijana wa kufanya fujo katika maeneo mbalimbali kwa kisingizio cha kulinda kura ifikapo Oktoba 25, mwaka huu.
Tayari zipo taarifa kuwa wapo, pia, vijana ambao wamepelekwa maeneo mbali mbali nchini na wengine nchini Rwanda, kwa ajili ya mafunzo ya ‘kuwaweka fiti’ ili wawe na uwezo wa hata kusababisha maumivu makubwa ya kimwili na hata uharibifu wa mali kwa wapinzani wao, hususan wale watakaoonekana kuwa ni kikwazo kwa harakati zao za kuingia magogoni.​
 
nasikia anaanza upya pale jangwani,ha ha ha lowasa kwa vitimbwi simwezi....


"tutaleta mvua ya kutosheleza wakulima toka Bangkok,mwenye gari moja ataongezewa la pili,,,,tutamfufua balali kutoka katika wafu.......tutaondoa nyumba zote za nyasi,na tutahakikisha tunamiliki madini makubwa makubwa na madogo madogo,,,,,,,,,,mimi na rostamu.


"nataka watu wote muwe kama bahresa,NACHUKIA SANA MASIKINI"
Tutamfungua Babu Seya ili awape watoto Elimu kwanza, Elimu, pili Elimu tatu
 
Usiwe Mtumwa wa Fikra! Kwani kiingereza ndo inaendesha nchi? Rais wa China anaongea Kiingereza? Think twice..
Hawa watu ndio maana wazungu wanawaita manyani na bado wanachekelea.
 
Nimeamini hata kumtoka kimba ilikua ni rasha rasha tu
 
kampeni kabambe???,kwahiyo badala ya kuongea dakika 2,ataongeza walau ziwe 3 au?

Maneno mengi ndiyo kipimo cha utendaji? waliozoea kupigwa 'sound' wanajulikana kwa coment zao.Your the one among them.
 
Mgombea wa Ukawa Ndg. Lowassa amenukuliwa akisema kwamba kampeni wanazofanya kwa sasa ni rasharasha tu. Na kampeni za nguvu zitaanza rasmi tarehe 1.10.2015...

Kuanzia tarehe 1.10.2015 Ukawa watafanya kampeni ambazo hazijawahi kutokea katika nchi hii, hii ya sasa ni rasharasha tu....... amesema

Itakuwa ni kampeni ya kuhakikisha kila kona ya nchi, vijiji vyote, vitongoji vyote vinafikiwa. Ni kampeni ambayo kila mwananchi atapata ujumbe wa safari ya mabadiliko..... Waswahili wanasema itakuwa ni kampeni ya "kufa mtu"

Kama tunavyojua lengo kuu la kampeni hizi ni kuwafikia wananchi wengi na kuwambia muda wa mabadiliko ni sasa, ni wito kwa wananchi wote wapenda mabadiliko kuungana na umoja wa Ukawa kwa kuzidi kueneza ujumbe wa mabadiliko ili tarehe 25.10.2015 tukingo'e chama kilichoshindwa kuleta mabadiliko kwa zaidi ya miaka 54....

Mytake:.. Majirani zetu nafkiri kuanzia tarehe 1.10.2015 watalazwa wengi sana...
Africans dont have their own language, dont know what they have and how to deserve it.
 
Usiwe Mtumwa wa Fikra! Kwani kiingereza ndo inaendesha nchi? Rais wa China anaongea Kiingereza? Think twice..


China huwezi ilinganisha na Tanzania, China nyie ndo mtataka kuongea kichina ila sio wao, kwa nchi za Dunia ya Tatu Kingereza ni muhimu sana asikudanganye mtu,
 
Hizi kampeni "kabambe" zimeanza au bado?
 
hizi kampeni "kabambe" zimeanza au bado?

nahic utakuwa libya kwa sadam husen ukirudi utagundua kuwa zimeanza au laa ila kingunge na mwapacho cyo ccm kwa xaxa mpe salamu saadam
 
Back
Top Bottom