Ocampo four
JF Senior Expert Member
- Feb 28, 2014
- 5,789
- 2,159
Mgombea wa Ukawa Ndg. Lowassa amenukuliwa akisema kwamba kampeni wanazofanya kwa sasa ni rasharasha tu. Na kampeni za nguvu zitaanza rasmi tarehe 1.10.2015...
Kuanzia tarehe 1.10.2015 Ukawa watafanya kampeni ambazo hazijawahi kutokea katika nchi hii, hii ya sasa ni rasharasha tu....... amesema
Itakuwa ni kampeni ya kuhakikisha kila kona ya nchi, vijiji vyote, vitongoji vyote vinafikiwa. Ni kampeni ambayo kila mwananchi atapata ujumbe wa safari ya mabadiliko..... Waswahili wanasema itakuwa ni kampeni ya "kufa mtu"
Kama tunavyojua lengo kuu la kampeni hizi ni kuwafikia wananchi wengi na kuwambia muda wa mabadiliko ni sasa, ni wito kwa wananchi wote wapenda mabadiliko kuungana na umoja wa Ukawa kwa kuzidi kueneza ujumbe wa mabadiliko ili tarehe 25.10.2015 tukingo'e chama kilichoshindwa kuleta mabadiliko kwa zaidi ya miaka 54....
Mytake:.. Majirani zetu nafkiri kuanzia tarehe 1.10.2015 watalazwa wengi sana...