kati ya vilaza bora humu nawewe umo.! Ntakuambia in pmKaa Kimya,wewe ni miongoni mwa wanamagamba wanaolipwa buku mbili kwa siku kuchafua CDM,How come umejoin may lakini una-post 2001,Mpaka mda huu 10:39 PM 11/07/2011..Wang'olewe tu,wanyonyaji wakubwa hawa
Hapo mkuu mwandishi hatukuckia swali alomuuliza lakn it seems mwandishi alitaka kujua maelezo juu ya serikali kutokuchukua maamuzi magumu ndio maana alisema na alisema kwa ufupi sana maelezo yake bwana Lowasailikuwaje mpaka akatoa kauli hiyo jana hapo tbc?lakini pia ccm hawamuwezi kabisa..........
True FredHii inaonyesha kuwa sasa amemshika pabaya Rais, na kufuta rasmi usemi wake kuwa 'U-rais wangu hauna ubia na mtu', anajua kucheza na maneno tu na kujikaza kisabuni kuwa ameanzisha mjadala na kumbe mjadala umemshika yeye. Anatumia turufu nyingine kuwateka watu wanaomchukua kuacha kujadili kwa kusema hayo ili wajue kuwa wanaocheza na mjadala wa 'Maamuzi Magumu' wanamjenga Lowassa. Mbinu nyingine hii ya kisiasa lakini haitamsaidia.
Katika hali ya kushangaza EL amesema amezua mjadala juu ya serikali kushindwa kuchukua maamuzi magumu kwa hyo wananchi wataamua juu ya kauli yake.
Yamkini,sijui, labda wale wanaomwita yeye gamba ndio waliomagamba-kwa nini hawaamui maamuzi mazito?
Hii inaonyesha kuwa sasa amemshika pabaya Rais, na kufuta rasmi usemi wake kuwa 'U-rais wangu hauna ubia na mtu', anajua kucheza na maneno tu na kujikaza kisabuni kuwa ameanzisha mjadala na kumbe mjadala umemshika yeye. Anatumia turufu nyingine kuwateka watu wanaomchukua kuacha kujadili kwa kusema hayo ili wajue kuwa wanaocheza na mjadala wa 'Maamuzi Magumu' wanamjenga Lowassa. Mbinu nyingine hii ya kisiasa lakini haitamsaidia.
Sio kumshika pabaya tu, kama ni mchezo basi EL anajua kuucheza vyema!Hii inaonyesha kuwa sasa amemshika pabaya Rais, na kufuta rasmi usemi wake kuwa 'U-rais wangu hauna ubia na mtu', anajua kucheza na maneno tu na kujikaza kisabuni kuwa ameanzisha mjadala na kumbe mjadala umemshika yeye. Anatumia turufu nyingine kuwateka watu wanaomchukua kuacha kujadili kwa kusema hayo ili wajue kuwa wanaocheza na mjadala wa 'Maamuzi Magumu' wanamjenga Lowassa. Mbinu nyingine hii ya kisiasa lakini haitamsaidia.
Hawana ubavu wa kumfukuza, Edward Lowassa Anajua afanyalo, anajua kuzichanga karata zake vizuri, kwa dalili nizionazo, ni yeye ndie atawafukuza wengine chamani!huu wimbo wa lowassa umeanza kuchosha masikio...wamfukuze au waendelee kumbeba.
lowasa anakaribia kunyakua kombe dhidi ya mpinzani wake jmk!