fredmlay
JF-Expert Member
- Apr 30, 2008
- 1,849
- 391
Kwasababu ccm walisema 'eti ni magamba'!Kwanini wang'olewe CCM?
Kwasababu ccm walisema 'eti ni magamba'!Kwanini wang'olewe CCM?
Kwanini wang'olewe CCM?
To hell with CCM!To hell with Lowasa
Kwasababu ccm walisema 'eti ni magamba'!
Kaa Kimya,wewe ni miongoni mwa wanamagamba wanaolipwa buku mbili kwa siku kuchafua CDM,How come umejoin may lakini una-post 2001,Mpaka mda huu 10:39 PM 11/07/2011..
Wang'olewe tu,wanyonyaji wakubwa hawa
Aheri ungeuliza nani awang'oe ?Kwanini wang'olewe CCM?
in lowassa i trust
mwenzako kaokoka, anataka kuvua gamba kwa maombi.Gamba limegina!kwi kwi kwi!
ili wawe watanzania wenye mapenzi mema na watanzania.Kwanini wang'olewe CCM?
we hujui kuwa ni mafisadi? Na lowasa amempa dongo nape kuwa maamuzi magumu hawayajui siku 90 zimeisha leo.Kwanini wang'olewe CCM?
Kwanini wang'olewe CCM?