Lowassa: Hongera Mufti Abubakar Zuberi

Lowassa: Hongera Mufti Abubakar Zuberi

Mnfiki huyu akapongeze makanisani huko. Huku atuachie wenyewe wembe wa kutumia tarehe 25 Oktoba (uhai na uzima ukiwepo) tunaujua
 
CCM walizoea kusema CUF ni chama cha watu Wa dini Fulani na chadema ni cha dini Fulani lakini Mungu ni mkubwa sana safari hii waliokuwa wanafitinishwa wote wamechoka dhidi ya ibilisi wao CCM wameungana hapo patamu sana
 
Anafuta mazambi yake ya udini. Tunajua malengo yake ya kujikosha lkn dhamira na nafsi inamsuta. Itafaamika tu.
 
ingawa sio mshabiki sana wa Bakwata lakini hapa inaonekana kati ya Magufuli na Lowassa nani ni Kiongozi .
Bakwata ndio kiungo kati ya serikali na waislam ( japo wengi hatuafiki) hivyo Lowasa kutoa pongezi mara tu Bakwata walipo pata Mufti mpya inaonesha kuwa yeye ni kiongozi na anajua wajibu wake.

magufuli kushindwa kumpongeza Mufti mpya ni wazi huyu hana sifa na mgombea wa ajali..hana wito..na yeye anafaa Zaidi kubishana na wakandarasi tu.
 
Mufti asikubali kamwe kurubuniwa BAKWATA kutumiwa na CCM kama kawaida yao ...
 
MIMI NI ANSAR SUNNAH..Sheikh wangu ni QASSIM MAFUTAH..nasema hivi KURA YANGU KWA LOWASSA.Allah anisamehe kama nimekosea kupiga kura kwa ------.
 
Lutheran..katoliki angelican sabato pentecoste TAG wote ni wakristo..Yesu alikuwa na wanafunzi 12 na kila mmoja anajinsi yake ya mafundisho ndo maana wakagawanyika...ni kitu cha kawaida sana kwa msabato kusema msabato mwenzangu...namwelewa makamba akilalamika kwa sababu hajui kanisa ni nini..ila kwa wakristo mnaomsema lowasa kwa ajili ya kikombe cha chai.. jua biblia inasema utahukumiwa kwa maneno ya kinywa chako..
 
MIMI NI ANSAR SUNNAH..Sheikh wangu ni QASSIM MAFUTAH..nasema hivi KURA YANGU KWA LOWASSA.Allah anisamehe kama nimekosea kupiga kura kwa ------.

Mafuta akikuona utaambulia bakola,maana kwake kupiga kura,demokrasia nk. ni haraamun mutwilaq
 
Afu huyu mluther EL na atuacheeee leo anawaona waislam wamaana sana kura hapati kwa waislam,
 
Faiza Foxy, wewe unamnadi mwenzio mgonjwa jaribu faragha na yeye kama hutatoka umeshikilia baadhi ya nguo mkononi!
 
Back
Top Bottom