Chura
JF-Expert Member
- Sep 22, 2009
- 1,425
- 2,525
tatizo unachanganya siasa na imani nahisi utakuwa mmoja kati ya wanafunzi 900 wa gwajimaLutheran..katoliki angelican sabato pentecoste TAG wote ni wakristo..Yesu alikuwa na wanafunzi 12 na kila mmoja anajinsi yake ya mafundisho ndo maana wakagawanyika...ni kitu cha kawaida sana kwa msabato kusema msabato mwenzangu...namwelewa makamba akilalamika kwa sababu hajui kanisa ni nini..ila kwa wakristo mnaomsema lowasa kwa ajili ya kikombe cha chai.. jua biblia inasema utahukumiwa kwa maneno ya kinywa chako..