Huyu ------ ni mnafiki tu, aende zake huko na udini wake Lutheran.
Kauli yako inasadifu jina lako
Huyu ------ ni mnafiki tu, aende zake huko na udini wake Lutheran.
Mgombea urais kupitia muungano wa UKAWA, Edward Lowassa amewapongeza waislamu kwa kupata MUFTI Mkuu na kuwaomba waislamu wote kumpa ushirikiano kama walivyofanya kwa MUFTI Shaban Bin Simba...
Vile vile amempongeza binafsi MUFTI (mteule) Aboubakar Zuberi kwa kuchaguliwa kwake....
View attachment 286018
Lowassa ana akili sana anafaa kuwa raisi...wagombea wengine ni kampeni tu wamesahau hata vipaumbele vingine kama hiki cha kuwapongeza waislam kupata mufti mpya..
Waislamu wote tutampa kura za NDIO Lowassa.
Nyie waswahili mtaendelea kung'aang'aa macho.
Huyu ------ ni mnafiki tu, aende zake huko na udini wake Lutheran.
Anataka kujipendekeza, huyo si ndiyo alisaini MoU ya upande mmoja? Kuelekeza misaada kwa Wakristo pekee.
Hatusahau na hatudanganyiki na kura hatumpi - Mkumbushe.
Anajikosha tu kwa Waislam. Akili yake ipo kwa Walutheri wenzake
Huyu ------ ni mnafiki tu, aende zake huko na udini wake Lutheran.
Huyu ------ ni mnafiki tu, aende zake huko na udini wake Lutheran.
Wewe ndio mdini unayedhani mkristo akimpongeza mufti ni unafiki
Anataka kujipendekeza, huyo si ndiyo alisaini MoU ya upande mmoja? Kuelekeza misaada kwa Wakristo pekee.
Hatusahau na hatudanganyiki na kura hatumpi - Mkumbushe.
Anataka kujipendekeza, huyo si ndiyo alisaini MoU ya upande mmoja? Kuelekeza misaada kwa Wakristo pekee.
Hatusahau na hatudanganyiki na kura hatumpi - Mkumbushe.
Rostam aziziNani kama lowasa jamani?
Mnafiki mkubwa kwanza hakumtaka huyo mufti zubeir halafu anajipendekeza nini. Anawapenda zaidi walutheri kuliko waislam. Huyo mnafiki mwenzake Sumaye anadhani waislam wamesahau alivyoamrisha polisi waingize mbwa msikitini mwembechai. Wasiwafanye waislam mazuzu wanaosahau mambo ya dharau Kwao kwa kulambishwa pipi. Pelekeni unafiki huko kaskaziniWewe ndio mdini unayedhani mkristo akimpongeza mufti ni unafiki
Huenda huna taarifa au umesahau kuwa Lowassa alitumwa na Sheikh Alhaji Ustadh Alli Hassan Mwinyi