Ocampo four
JF Senior Expert Member
- Feb 28, 2014
- 5,789
- 2,159
Wewe ndio mdini unayedhani mkristo akimpongeza mufti ni unafikiHuyu ------ ni mnafiki tu, aende zake huko na udini wake Lutheran.
Huyu ------ ni mnafiki tu, aende zake huko na udini wake Lutheran.
Kuna mwenzako anaitwa Msalani ambaye hupokea kinyesijina lenyewe kinyesi hiv hujisikii unanuka? naamin hata akili zako zinafanana na jina lako.
Hiyo akaunti inamilikiwa na Ocampo four. Lowasa hawezi hata kuweka saini
Huyu ------ ni mnafiki tu, aende zake huko na udini wake Lutheran.
Kuna mwenzako anaitwa Msalani ambaye hupokea kinyesi
Anajikosha tu kwa Waislam. Akili yake ipo kwa Walutheri wenzake
Anajikosha tu kwa Waislam. Akili yake ipo kwa Walutheri wenzake
punguza kujamba jamba tulia,unapinga mpaka mtu kutoa pongezi,we mwehu?Hiyo akaunti inamilikiwa na Ocampo four. Lowasa hawezi hata kuweka saini
Huyu ------ ni mnafiki tu, aende zake huko na udini wake Lutheran.
Angekuwa mdini angeanza kumbagua mkewe Regina ambaye ni Mkatoliki.Mgombea urais kupitia muungano wa UKAWA, Edward Lowassa amewapongeza waislamu kwa kupata MUFTI Mkuu na kuwaomba waislamu wote kumpa ushirikiano kama walivyofanya kwa MUFTI Shaban Bin Simba...
Vile vile amempongeza binafsi MUFTI (mteule) Aboubakar Zuberi kwa kuchaguliwa kwake....
View attachment 286018
Huyu ------ ni mnafiki tu, aende zake huko na udini wake Lutheran.