Lowassa: Hakuna kitu nilichofanya bila Kikwete Kujua

Eti akitaja mikataba tata nani atabaki? Jamani kwa maana hyo huyu mtu alikuwa ana kubali mikataba yenye utata bila hofu.uzalendo uko wapi hapo,km aliutendea mti mbichi ivo je! itakuaje kwa mti mkavu.
Plz cc move out mamvi
 
Anaye bisha bisha kwamba EL hakuyasema maneno hayo ni mbumbumbu na hapaswi kuwepo humu Janvini! Msipende pelekwa kama makapi! EL aliyasema hayo ktk vikao vyao!

sasa kama nafasi ya kujitetea na watanzania tukasikia ilikwepo bungeni kwann hakusema?? tena spika sitta alimwita akamwambia PM jitetee kwa kujibu hoja yy akatangaza kuachia ngazi. Hayo maneno kama kasema au hakusema haina mana yoyote alikuwa anafanya hadaa ambazo wenzake kama Mkapa walizishtukia wakazizima
 
losawa sio mtu mzuri, kwa nn anajisafisha kwa kumuhusisha mwenyekiti?? boss wake. Wakati richmond wanasema ni kampuni feki na yy aliipigia debe ina maana boss wake ndo alimwambia afanye hivo. Utetezi wake wa kitoto na hadaa nyingi. Kaundiwa tume mbona kashindwa kujittetea bungeni akazidiwa akatangaza kuachia ngazii. Mzee mkapa alimaliza hiyo issue mana anamjua lowasa alikuwa anawapotezea muda na ghiliba zake ahahah

Mkuu naomba nikuulize
Unajua maana ya kuwa kiongoz wa nchi?
Unajua nguvu alizonazo RAIS?
Unajua maana ya ORDER?
sio lazima mtu uchangie kila thread!!!
 
Ukweli ni huu. Viongozi wote wa ccm hawafikiri hata kidogo. Mtu asiyefikiri hana tofauti na maiti. Ukifikri kile ulichofikiri ndicho hutokea. Akina Mshana Jr, Posco et all wanajua hili.

Nothing comes out from nowhere.
 
Hapa sijamuelewa Lowasa. Anajaribu kujustify kosa lake au anajaribu kutufahamisha mhusika Mkuu ni nani!! Kiongozi mzuri hatakiwi Kuhit around the bush!!
 
Nakumbuka nilikuwa Kinondoni siku moja nikaona grafiti imeandikwa"chicheni chilingi" Tatizo LA Lowassa ni kwamba ni mkimya kuhusu. sera zake.. Sera zake tutazifahamu akishakuwa rais.Ndiyo ile graffiti CHICHEMI CHILINGI.
 
Mkuu naomba nikuulize
Unajua maana ya kuwa kiongoz wa nchi?
Unajua nguvu alizonazo RAIS?
Unajua maana ya ORDER?
sio lazima mtu uchangie kila thread!!!

sawa yeye alipewa order ya kuhakikisha umeme unapatikana haraka, ila akageuza hiyo order na kuaminiwa kupiga deal kila mtu anajua, na hiyo boss wake hakumtuma apige deal, Boss wake alimtuma na kumwamini ahakikishe umeme unapatikana haraka na si madudu aliyoyafanya aibu tupu
 
Lowassa akiwa rais hotuba yake ya kwanza atasema kwamba yeye atakuwa rais wa wote. Hayo ndiyo maneno watu wanataka kumsikia anayasema sasa.
 
Lowassa akiwa rais hotuba yake ya kwanza atasema kwamba yeye atakuwa rais wa wote. Hayo ndiyo maneno watu wanataka kumsikia anayasema sasa.
Sio wote humu ni great thinkers,tusaidiege kwa kuandika kiasi hata sisi mbumbumbu tuelewe
 
sawa yeye alipewa order ya kuhakikisha umeme unapatikana haraka, ila akageuza hiyo order na kuaminiwa kupiga deal kila mtu anajua, na hiyo boss wake hakumtuma apige deal, Boss wake alimtuma na kumwamini ahakikishe umeme unapatikana haraka na si madudu aliyoyafanya aibu tupu

Nani niliyekuwa nampelekea ripoti ya maendeleo ya mchakato kama siyo wewe?
Kwa nini mnaendelea kunizushia kuwa mie fisadi
wakati nilikuwa natii agizo kutoka juu?

SOMA TENA KISHA UENDELEE KUCHANGIA!!!!
 
Nani niliyekuwa nampelekea ripoti ya maendeleo ya mchakato kama siyo wewe?
Kwa nini mnaendelea kunizushia kuwa mie fisadi
wakati nilikuwa natii agizo kutoka juu?

SOMA TENA KISHA UENDELEE KUCHANGIA!!!!

kila kitu na madudu yote alofanya fisadi lowasa kuhusu richmond saga yapo kwenye hansadi za bunge. Mfano kuingilia mchakato wa manunuzi n.k tena inasemekana hadi memo alizokuwa ana lazimisha kwamba tenda lazima ipewe richmond vipo vimekuwa attached kama ushahidi.
 
hahahahahahahaaha mnanikumbusha kidonda kilichokuwa kinaelekea kupona sas kimewasha tena
 
Kelele za nanii...haziboi choo, tunahesabu masaa tu kieleweke. Majizi yote yaliyolaaniwa na Mwalimu Nyerere tupa kuleeeee
 
kila kitu na madudu yote alofanya fisadi lowasa kuhusu richmond saga yapo kwenye hansadi za bunge. Mfano kuingilia mchakato wa manunuzi n.k tena inasemekana hadi memo alizokuwa ana lazimisha kwamba tenda lazima ipewe richmond vipo vimekuwa attached kama ushahidi.
ni hivi Lowassa alikuwa anatekeleza analoambiiwa order ya kuwa richmond lazma ishinde tenda ilitoka kwa raisi.Rais hawez kuandika memo direct kwenda wizara lazima apitia kwa waziri mkuu LOWASSA ALIPEWA ORDER KWAMBA HAKIKISHE RICHMOND INASHINDA KWA NAMNA YEYOTE ILE.
 
toa hearsay zako hapo ww unaamini aliyoyasema ndio ukweli? je unauhaka gani kuwa ndicho alichosema while cc inakaa closed meeting?

hivi watz mtaacha lini hizi barabara?

Hakuna jambo la siri hapa duniani.
Ustake watu wote wawe km ww mburula wa Ccm.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom