GreaTthinkers,
Hii ni kutoka Chumba cha CC ya chama pale Dodoma
EL-Akanyanyuka na kusema"
Nani aliyenipigia simu afrika kusini kwamba rudi nchi iko gizani ni nani kama wewe?
Nani niliyekuwa nampelekea ripoti ya maendeleo ya mchakato kama siyo wewe?
Kwa nini mnaendelea kunizushia kuwa mie fisadi wakati nilikuwa natii agizo kutoka juu?
Nashindwa kuwa mvumilivu hivi mimi nikianza kuropoka mikataba yote tata nani atakeyebaki?
Mara Mkapa akasimama, Mw/kiti nadhani hili suala la kujivua magamba lisitishe kwanza.Baada ya hapo ishu ....
BASI HADITHI IKAENDELEA. BAADA YA KUHISI KUNA WATU WAMEJIPANGA KUMVUA UENYEKITI KIKWETE AKARIDHIA KUSITESHA AGENDA NA KUSEMA .........SASA KITAMBAA CHEUPE NA CHEUSI KITAJULIKANA... basi hapo utakuta imediate Kikwete akairudisha time ya kina Mangula ambayo si rafiki kwa Lwsa ili imdhibiti. Utakumbuka Mangula alishatupwa na uongozi wa Kikwete na akawa Mkulima wa kawaida njombe, ila akarudishwa kwa kazi hiyo. Ongelea kote kote bana.