Lowassa: Hakuna kitu nilichofanya bila Kikwete Kujua

ni hivi Lowassa alikuwa anatekeleza analoambiiwa order ya kuwa richmond lazma ishinde tenda ilitoka kwa raisi.Rais hawez kuandika memo direct kwenda wizara lazima apitia kwa waziri mkuu LOWASSA ALIPEWA ORDER KWAMBA HAKIKISHE RICHMOND INASHINDA KWA NAMNA YEYOTE ILE.

Umejulia wapi au unabuni tu??

Tatizo unaongea kama vile una ushahidi na unachosema,hunaaa....

On the other side,ushahidi upo na umekusanywa kweny ripoti ya richmond,sasa lete ushahidi wako ku-refute that!
 
Jamani tumechoka na quotes zakutafta huruma tunachotaka ni kujua anakatwa mtu au hakatwi, ili kama mtumbwi unapasuka tujue moja na kila mmoja achukue ubao wake kungali mapema
 
greatthinkers,

hii ni kutoka chumba cha cc ya chama pale dodoma
el-akanyanyuka na kusema"

nani aliyenipigia simu afrika kusini kwamba rudi nchi iko gizani ni nani kama wewe?

Nani niliyekuwa nampelekea ripoti ya maendeleo ya mchakato kama siyo wewe?

Kwa nini mnaendelea kunizushia kuwa mie fisadi wakati nilikuwa natii agizo kutoka juu?

Nashindwa kuwa mvumilivu hivi mimi nikianza kuropoka mikataba yote tata nani atakeyebaki?

Mara mkapa akasimama, mw/kiti nadhani hili suala la kujivua magamba lisitishe kwanza.baada ya hapo ishu zote za kujivua magamba zikasitishwa

nilipokuwa mdogo baba alikuwa ananiita haraka nikitoka shule, akinitaka niende kwenye duka la mwarabu kununus sukari. Hakusema niende duka la mwarabu kuiba sukari. Wm
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom