Lowassa: Gwajima ni mnafiki

Lowassa: Gwajima ni mnafiki

Nadhani kama ni emuelewa Assadsyria hapa anayesemwa mnafiki ni Mchungaji Gwajima. Si Lowasa. Lowasa anabaki na sifa yake kuu ya Fisadi Mkuu ambayo hakuna aliyempokonya mpaka sasa. Ataendelea kutambulika kuwa ndiye fisadi mkuu kuwahi kutokea hapa Tanzania
alafu

yaani Lowasa ataendelea kuwa fisadi mkuu maisha yake yote huku serikali ya makufuli ikimuangalia tu, huo ni huongo haiwezekani mtu uwe fisadi alafu uangaliwe tu, hapo mnampakazia Lowasa kama mlivyompakazia Salim Salim kwamba sio raia wa tanzania
 
Gwajima alikuwa na kesi nadhani imekwisha.
Na wale Masheikh kesi yao itaisha pia kwa uwezo wake ALLAH.
 
Zifuatazo ni alama kuu za mnafiki:
1.Anaposema husema uongo
2.Akiaminiwa hufanya hiana
3.

Zisome alama kuu tatu za mnafiki kama ifuatavyo;
1.Akisema husema uongo.
2.Akiahidi hatimizi ahadi zake
3.Akiaminiwa hufanya hiana.
Unajua watu humu mnafikiri chini ya viwango sana,pia mnafikiri kishabiki,kitoto,na kinafki.
skia
mavi yakiwa jalalani ni uchafu na chanzo cha maradhi,lkn mavi yakichuliwa na mkulima mjanja yakawekwa kwe mboga yatampa manufaa mkulima.
gwajima si mnafiki km mambumbumbu mnavomuita,gwajima ni mtumia fursa mzuri na anaakili sana kuliko ninyi/anavyomiliki vinathibitisha.
kilicholea na kuandaa mazingira ya unafki kuwa chanzo cha utajiri na mapato kwa gwajima ni nani km siyo serikali yenu na ninyi wananchi.km wananchi mnapata elimu isiyoweza kuwaondolea ujinga basi wakija akina gwajima wakatumia gape hilo kufanikiwa msiwaite wanafki,ni wajanja na wana akili kuliko ninyi maana wamegundua fulsa iliopo kupitia ujinga wenu na wanafanya lolote ikiwepo unafki uongo na ulaghai na wanafanikiwa.huyo mnaemuita mnafki anamiliki herikopta kitu ambacho sidhani km kuna mtu anacho humu.
tunapiga kelele bila kuchukua hatua kali ndo maana watu wanainyonya nchi na wanajua tutaishia kuongea kimajungumajungu na yataishia hapo, kwa hiyo wanaiba wanajua mtaongea na kunyamaza wakati wao wanachoiba kitawasaidia milele wao na uzazi wao.
anachofanya gwajima si unafki ni uwekezaji mkubwa kwe akili na nchi ya wajinga,na anafanikiwa.
hongera muwekezaji gwajima.
kwangu ww ni moja ya mashujaa acha wakuite mnafki ww kula maisha kwa ujinga wao.
 
fulsa=fursa.Herikopta?
Mkuu wewe uko kishabiki zaidi,mimi nimekupa alama kuu tatu za mnafiki ili utafakari na wala sijamtaja mtu yeyote kwamba ni mnafiki,hata ukipekua vitabu vya dini utazikuta.Hata wewe popote uendapo ukiendekeza mambo ya kuwa na ndimi mbili jiandae kutajwa kwa jina hilo na kila atakaekutetea atadharaulika na kuonekana ZOBA tu.Hata huyo unaemtaja kumiliki hiyo unayoiita "herikopta"kumiliki "herikopta"sio dodoki la kumsafisha iwapo alama hizo anazo,jiongeze kidogo kiupeo vinginevyo utaendelea kuchekesha jamii kwa kutetea utumbo.
 
soma vizuri nlichoandika.
hicho unachoita ww unafki ndo kinachompa mafanikio.
ni sawa na mtu fisadi.hicho unachoita ww fisadi ndo kinampa mafanikio.hao tunaowaita wanafki au mafisadi wanajua kabsaaa unafki ama ufisadi ndo nyezo za wao kupiga mpunga maana wanajua watanzania asilimia kubwa ni mambumbumbu waongeaji na si wachukua hatua,kwa hiyo ujinga wetu ndo nyenzo yao kufikia malengo yao.labda nikupe mfano.hv haujawahi skia mkuu fulani alopata uongozi sababu tu ya yy kujikomba kwa mtoto wa mkubwa?.
wakati ww unamuita yy mnafki yy anajua unafki utamfikisha kwe lengo lake na amefanikiwa zaidi yako.sasa mjanja nani.
huyu gwajima hicho unachokiita ww unafki yy kwake ni siraha ya kufikia mafanikio na amefikia mafanikio.ni sawa na ushuzi kwa kobe ni siraha ya kujihami wakati kwa binadamu ni kero.
nchi hii idadi ya watu wengi ufahamu ni mdogo sana kwa hiyo wajanja wachache wanajua namna ya kutumia ujinga wa watu kupiga hela(ujasiriamali kwe akili za wajinga).
kwa hizo sifa ulotaja hata ww zinakugusa na watu kibao zinawagusa.jihukumu kwa haki uone km haujawahi kusema uongo ama kutotimiza jambo uloahidi.
na km ni hivo basi wanasiasa woooooote hata ww ni wanafki maana ni mangapi wanadanganya na ni mangapi hawatekelezi.hata kumuita mtu mnafki mitandaoni badala ya kuchukua hatua hadharani na watu waskie nao huo ni unafki tena zaidi ya unafki.unafkunah!!!
 
Last edited:
Sukumaland katika ubora wake
km sifa za unafki ni hizo tu basi idadi kubwa ya watu na wanasiasa woooooote wanafki.
kuna kitu hamjanielewa hapo pabda sababu ya mlengo wenu.
simtetei gwajima ila nnajaribu kuwafumbua macho wanaodhani kuwa jamaa hajui anachofanya.anajua sana na staili hiyo ndo ameona inafaa ili kuishi.km mtu kafanikiwa kwa unafki maana yake jamii inayomzunguka ni wajinga wakubwa maana mnafki akifanikiwa kupitia unafki wake kwe eneo ulilopo inamaana unafki wake unamanufaa kuliko akili zako.
jamaa katumia gape baada ya kuona mabongo lala kibao km babu wa loliondo alivofanya.
 
KWA HILI MAGUFULI NI JEMBE LA UKWELI,SIKUTEGEMEA KM ANGEFANYA.
Dk magufuli,Rais amekua akisisitiza sana kwenye kampeni zake kuwa TUMTEGEMEE SANA MUNGU,.Hii nilikua simuelewi kwanini ameweka sana mbele mungu.Nikajiuliza ni Mungu gani anaemaanisha,kwa sababu wakristo wanatambua kuwa Jesus ndio mungu na pia kuna mungu Mama,mwana na baba.!!! Ukiacha ukristo,Uislam unakufuru imani hiyomya kikristo ya waungu watatu na uungu wa Jesus,kinyume chake,jesus hutambulika km mtume wa mungu km mitume mengine.Kwao wao,mungu wao ni mmoja na hana mshirika aitwae ALLAH.
Zipo imani nyingine pia nchini tanzania ambao wote wanaongozwa na rais Magufuli.
Kauli ya kumtegemea mungu na mungu yupi nimeielewa baada ya mambo makuu matatu ambayo bwana Magufuri na serikali yake wameyafanya ktk kipindi hiki kifupi ambayo yamekuwa gumzo.
1.Uteuzi wa baraza la mawaziri.kwenye uteuzi ulofanywa na rais, haukujali utendaji,kwakuwa ametaka kumtegemea sn mungu,ameamua kujaza baraza lake la mawaziri watu wenye kumuamini mungu anaemuamini yeye(wakristo)aidha ili wawe waadilifu km misingi ya dini yao ilivyo au kutoamini waislam.
2.MAKATIBU WAKUU. mwendo ni uleule wa mawaziri.ukitaka kuwaona waislamu basi utumie darubini,vinginevyo hutowaona katika uteuzi wa magufuri.
Nasubiri wakuu wa wilaya na wakuu wa mikoa nione kitachojiri.
3.wakurugenzi walosimamishwa kazi. huu ni mchezo tu ambao unaweza ukawa una mtazamo wa kisiasa zaidi.
Chamsingi ni kwamba,waliosimamishwa na kufukuzwa kazi,wale waislamu wote nafasi zao wamepewa wakristo na wale wapya alowateua hakuna waislamu.Hii ni kwasababu mungu alomtaka tumtegemee sio mungu wa kiislamu,kwahiyo ameona bora asiwape nafasi.
Watu walipoona amemteua kassim majaliwa waliona amemteua muislam ktk nafasi nyeti ya uwaziri mkuu,kumbe hawakujua huo mchezo,
sasahivi ndio wanajua kuwa majaliwa mkewe ni mkristo,hivyo kwamh rais ameona mke wa majaliwa anaweza kutumika kuonyesha mumewe mungu alomaanisha rais.
waislam wote walopata uteuzi wa magufuri utakuta wanashare ukristo km si mke basi mzazi na wengine ni wale wa majina tu.
mh rais ni vema ajue kuwa,hakuna taifa liloendelea kwa kudharau watu wake hasa watu hao wakiwa ni population kubwa,watu wakiendelea na taifa huendelea.maendeleo ni watu na watu ni maendeleo.NASUBIRI KWA HAMU UTEUZI MWENGINE
 
Nadhani kama ni emuelewa Assadsyria hapa anayesemwa mnafiki ni Mchungaji Gwajima. Si Lowasa. Lowasa anabaki na sifa yake kuu ya Fisadi Mkuu ambayo hakuna aliyempokonya mpaka sasa. Ataendelea kutambulika kuwa ndiye fisadi mkuu kuwahi kutokea hapa Tanzania
Duh!! Fisadi alie tukuka sana.
 
Nadhani kama ni emuelewa Assadsyria hapa anayesemwa mnafiki ni Mchungaji Gwajima. Si Lowasa. Lowasa anabaki na sifa yake kuu ya Fisadi Mkuu ambayo hakuna aliyempokonya mpaka sasa. Ataendelea kutambulika kuwa ndiye fisadi mkuu kuwahi kutokea hapa Tanzania
Lowasa ndiye alichukua pesa za Escrow? Kile kivuko cha billion 8 kilinunuliwa na Lowasa? Pesa za EPA na michongo kibao ya Home shopping center zimeenda Kwa Lowasa?
 
KWA HILI MAGUFULI NI JEMBE LA UKWELI,SIKUTEGEMEA KM ANGEFANYA.
Dk magufuli,Rais amekua akisisitiza sana kwenye kampeni zake kuwa TUMTEGEMEE SANA MUNGU,.Hii nilikua simuelewi kwanini ameweka sana mbele mungu.Nikajiuliza ni Mungu gani anaemaanisha,kwa sababu wakristo wanatambua kuwa Jesus ndio mungu na pia kuna mungu Mama,mwana na baba.!!! Ukiacha ukristo,Uislam unakufuru imani hiyomya kikristo ya waungu watatu na uungu wa Jesus,kinyume chake,jesus hutambulika km mtume wa mungu km mitume mengine.Kwao wao,mungu wao ni mmoja na hana mshirika aitwae ALLAH.
Zipo imani nyingine pia nchini tanzania ambao wote wanaongozwa na rais Magufuli.
Kauli ya kumtegemea mungu na mungu yupi nimeielewa baada ya mambo makuu matatu ambayo bwana Magufuri na serikali yake wameyafanya ktk kipindi hiki kifupi ambayo yamekuwa gumzo.
1.Uteuzi wa baraza la mawaziri.kwenye uteuzi ulofanywa na rais, haukujali utendaji,kwakuwa ametaka kumtegemea sn mungu,ameamua kujaza baraza lake la mawaziri watu wenye kumuamini mungu anaemuamini yeye(wakristo)aidha ili wawe waadilifu km misingi ya dini yao ilivyo au kutoamini waislam.
2.MAKATIBU WAKUU. mwendo ni uleule wa mawaziri.ukitaka kuwaona waislamu basi utumie darubini,vinginevyo hutowaona katika uteuzi wa magufuri.
Nasubiri wakuu wa wilaya na wakuu wa mikoa nione kitachojiri.
3.wakurugenzi walosimamishwa kazi. huu ni mchezo tu ambao unaweza ukawa una mtazamo wa kisiasa zaidi.
Chamsingi ni kwamba,waliosimamishwa na kufukuzwa kazi,wale waislamu wote nafasi zao wamepewa wakristo na wale wapya alowateua hakuna waislamu.Hii ni kwasababu mungu alomtaka tumtegemee sio mungu wa kiislamu,kwahiyo ameona bora asiwape nafasi.
Watu walipoona amemteua kassim majaliwa waliona amemteua muislam ktk nafasi nyeti ya uwaziri mkuu,kumbe hawakujua huo mchezo,
sasahivi ndio wanajua kuwa majaliwa mkewe ni mkristo,hivyo kwamh rais ameona mke wa majaliwa anaweza kutumika kuonyesha mumewe mungu alomaanisha rais.
waislam wote walopata uteuzi wa magufuri utakuta wanashare ukristo km si mke basi mzazi na wengine ni wale wa majina tu.
mh rais ni vema ajue kuwa,hakuna taifa liloendelea kwa kudharau watu wake hasa watu hao wakiwa ni population kubwa,watu wakiendelea na taifa huendelea.maendeleo ni watu na watu ni maendeleo.NASUBIRI KWA HAMU UTEUZI MWENGINE
Udini tena!! hii sio mambo aseee think plz think...
 
soma vizuri nlichoandika.
hicho unachoita ww unafki ndo kinachompa mafanikio.
ni sawa na mtu fisadi.hicho unachoita ww fisadi ndo kinampa mafanikio.hao tunaowaita wanafki au mafisadi wanajua kabsaaa unafki ama ufisadi ndo nyezo za wao kupiga mpunga maana wanajua watanzania asilimia kubwa ni mambumbumbu waongeaji na si wachukua hatua,kwa hiyo ujinga wetu ndo nyenzo yao kufikia malengo yao.labda nikupe mfano.hv haujawahi skia mkuu fulani alopata uongozi sababu tu ya yy kujikomba kwa mtoto wa mkubwa?.
wakati ww unamuita yy mnafki yy anajua unafki utamfikisha kwe lengo lake na amefanikiwa zaidi yako.sasa mjanja nani.
huyu gwajima hicho unachokiita ww unafki yy kwake ni siraha ya kufikia mafanikio na amefikia mafanikio.ni sawa na ushuzi kwa kobe ni siraha ya kujihami wakati kwa binadamu ni kero.
nchi hii idadi ya watu wengi ufahamu ni mdogo sana kwa hiyo wajanja wachache wanajua namna ya kutumia ujinga wa watu kupiga hela(ujasiriamali kwe akili za wajinga).
kwa hizo sifa ulotaja hata ww zinakugusa na watu kibao zinawagusa.jihukumu kwa haki uone km haujawahi kusema uongo ama kutotimiza jambo uloahidi.
na km ni hivo basi wanasiasa woooooote hata ww ni wanafki maana ni mangapi wanadanganya na ni mangapi hawatekelezi.hata kumuita mtu mnafki mitandaoni badala ya kuchukua hatua hadharani na watu waskie nao huo ni unafki tena zaidi ya unafki.unafkunah!!!
Happy new year mkuu!
 
Back
Top Bottom