Lowassa: Gwajima ni mnafiki

Lowassa: Gwajima ni mnafiki

gwajima anajitihada binafsi za kubaki kwenye headlines kama wema sepetu!!!
 
DSC00477.jpg

DSC00501.jpg
 
Nadhani kama ni emuelewa Assadsyria hapa anayesemwa mnafiki ni Mchungaji Gwajima. Si Lowasa. Lowasa anabaki na sifa yake kuu ya Fisadi Mkuu ambayo hakuna aliyempokonya mpaka sasa. Ataendelea kutambulika kuwa ndiye fisadi mkuu kuwahi kutokea hapa Tanzania
Nijuacho mie Magufuli ni Rais dhaifu asiyeweza kabisa washughulikia mafisadi papa kama Lowassa.
 
mnaona raha kusoma vichwa vya habari na kuposti huku mkijadili. Nani kaisoma habari hiyo katika kurasa za ndani ya gazeti hilo? tunahitaji jamii yenye uwezo wa kupembua habari hizo kiundani kabla hamjaanza kuchangia hoja hiyo. Binafsi mpaka niisome ndo nichangie.
 
Nadhani kama ni emuelewa Assadsyria hapa anayesemwa mnafiki ni Mchungaji Gwajima. Si Lowasa. Lowasa anabaki na sifa yake kuu ya Fisadi Mkuu ambayo hakuna aliyempokonya mpaka sasa. Ataendelea kutambulika kuwa ndiye fisadi mkuu kuwahi kutokea hapa Tanzania
Yah nikweli, lakini vipi ule mpango wako wa kutaka uwe mtoto wa Lowassa mpaka ukawa unafoji majina Lizaboni Lowassa hivi ulifeli vipi mkuu?
 
hivo ndivo linavosomeka gazeti la WEMBE, huenda ameback fire ile kauli ya Gwajima aliodai hakuwahi kumuunga mkono ilhali hata mwendawazimu hahitaji evidence ili ajue Gwajima ni muongo au ni mkweli.

Kweli magufuli kaleta kiwewe, MTU akifikria anatembelea hammer, helkopter, anaishi kwenye mahekalu, imebidi kujipendeza najua ushaelewa kinacholindwa hapo.
hakika inashangaza kwa jinsi kolabo ya wanafiki wanavyorukana baada ya kukwaa kisiki. wanasiasa wana kawaida kutaka kuungwa mkono na mtu yeyote mwenye ushawishi hata kama ni shetani. mchungaji feki gwajima eti anamruka laigwenan lowassa wakati alijidai wanaompinga wanywe sumu.
 
mb
hivo ndivo linavosomeka gazeti la WEMBE, huenda ameback fire ile kauli ya Gwajima aliodai hakuwahi kumuunga mkono ilhali hata mwendawazimu hahitaji evidence ili ajue Gwajima ni muongo au ni mkweli.

Kweli magufuli kaleta kiwewe, MTU akifikria anatembelea hammer, helkopter, anaishi kwenye mahekalu, imebidi kujipendeza najua ushaelewa kinacholindwa hapo.

sioni kauli ya mh lowasa.
hilo gazeti sijawhi kulisikia
picha ya hilo gazeti kidogo
 
hivi Gwajima hajui Lowasa atakuwa rais muda si mrefu? Lowasa lazima ashinde kesi mahakama ya kimataifa na urais wa magufuli utatenguliwa
mateja hupata picha wakikata mitaa NY marekani, wakiwa na warembo wakila raha, wakimiliki majumba ya kifahari, magari ya bei mbaya n.k. kumbe wamejilaza pale coco beach.
huna tofauti na mateja wewe ambae unaona jpm akienguliwa magogoni na el akitinga ikulu. pole, nawe uko wapi? coco au mbezi?
 
Katika siku ambazo naweza kukuunga mkono basi ni leo. Tangu Magufuli ameingia kiwewe, hujawahi kuappreciate kazi zake. Ila leo umeadmitt kuwa Magufuli kaleta kiwewe kwa mafisadi. Ahsante sana
Aaaaaah lizabon.........
 
hivo ndivo linavosomeka gazeti la WEMBE, huenda ameback fire ile kauli ya Gwajima aliodai hakuwahi kumuunga mkono ilhali hata mwendawazimu hahitaji evidence ili ajue Gwajima ni muongo au ni mkweli.

Kweli magufuli kaleta kiwewe, MTU akifikria anatembelea hammer, helkopter, anaishi kwenye mahekalu, imebidi kujipendeza najua ushaelewa kinacholindwa hapo.
hivi hamyajui magazeti yetu?????
 
Back
Top Bottom