Lowassa: Gwajima ni mnafiki

Lowassa: Gwajima ni mnafiki

alafu

yaani Lowasa ataendelea kuwa fisadi mkuu maisha yake yote huku serikali ya makufuli ikimuangalia tu, huo ni huongo haiwezekani mtu uwe fisadi alafu uangaliwe tu, hapo mnampakazia Lowasa kama mlivyompakazia Salim Salim kwamba sio raia wa tanzania
km ni fasadi mkuu na serikali inajua ila imeishia kubwata bwata mitaani basi lowassa ni mkubwa na ana nguvu kuliko serikali pamoja washawasha zake magereza na hata wale wavunja matofari kwe sherehe za uhuru
 
Back
Top Bottom