Lowassa: Gwajima ni mnafiki

Lowassa: Gwajima ni mnafiki

Hilo swali Nimeshindwa kulipatia jibu. Huwa Najiuliza sana ni kipi hasa kinachowafanya watu wamshabikie mtu usieweza kumtetea Kwa hoja za msingi hata kama ujitie wehu.
alafu wanawapinga baadhi ya mawaziri walioteuliwa wanasema ni mafisadi kwa sababu ya kashfa zao lakini mtu mwenye sifa kama za hao m wanamsimamisha kugombea urais nafasi nyeti kuliko zote.....inawezekana ikawa ni kashfa za kweli ama uongo kwa pande zote mbili kwa sababu ukweli wanaujua wahusika sisi tunachofanya ni kuhisi tu na tunahukumu kwa hizo hisia alafu leo hii unathubutu kumjooshea mwenzako kidole watu wanahitajika kupimwa akili kweli
 
Nadhani kama ni emuelewa Assadsyria hapa anayesemwa mnafiki ni Mchungaji Gwajima. Si Lowasa. Lowasa anabaki na sifa yake kuu ya Fisadi Mkuu ambayo hakuna aliyempokonya mpaka sasa. Ataendelea kutambulika kuwa ndiye fisadi mkuu kuwahi kutokea hapa Tanzania
Kwani lowassa kafisidi kitu gani mkuu

Hebu ieleweke kwanza hapa maana umekua ndo kazi yako ukilala lowassa ukiamka lowassa nahis huwa unamuota huyo lowassa kuwa kifikra mkuu mbona huyajui majukumu yako kwa taifa wewe.
 
Umbeya tu,fanyeni kazi huko ujingaujinga tu,hii nchi ina safar ndefu mno kupata ukombozi kamili
 
Nadhani kama ni emuelewa Assadsyria hapa anayesemwa mnafiki ni Mchungaji Gwajima. Si Lowasa. Lowasa anabaki na sifa yake kuu ya Fisadi Mkuu ambayo hakuna aliyempokonya mpaka sasa. Ataendelea kutambulika kuwa ndiye fisadi mkuu kuwahi kutokea hapa Tanzania
Ni kweli but nafasi hiyo ya ufisadi mkuu inashuliliwa na watu wawili tz.
 
Ndoto ya saa tano Asubuhi hii atashinda kesi kwa katiba IPI?
Hawa wasanii wakichungaji waliishi kifalme akipata Mia inaingia mfukoni kama ilivyo hakuna kukatwa kodi sasa lazma walipe kodi ndo maana wanaanza leta maigizo
Wanamatatizo hawa
 
mnaona raha kusoma vichwa vya habari na kuposti huku mkijadili. Nani kaisoma habari hiyo katika kurasa za ndani ya gazeti hilo? tunahitaji jamii yenye uwezo wa kupembua habari hizo kiundani kabla hamjaanza kuchangia hoja hiyo. Binafsi mpaka niisome ndo nichangie.
Kwani kichwa cha habari kimekosewa!?
lete ukweli wake
 
Nadhani kama ni emuelewa Assadsyria hapa anayesemwa mnafiki ni Mchungaji Gwajima. Si Lowasa. Lowasa anabaki na sifa yake kuu ya Fisadi Mkuu ambayo hakuna aliyempokonya mpaka sasa. Ataendelea kutambulika kuwa ndiye fisadi mkuu kuwahi kutokea hapa Tanzania
Watu wa pwani katika ubora wenu
 
Back
Top Bottom