Lowassa: Gwajima ni mnafiki

assadsyria3

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
6,903
4,051
Hivo ndivo linavosomeka gazeti la WEMBE, huenda ameback fire ile kauli ya Gwajima aliodai hakuwahi kumuunga mkono ilhali hata mwendawazimu hahitaji evidence ili ajue Gwajima ni muongo au ni mkweli.

Kweli Magufuli kaleta kiwewe, MTU akifikria anatembelea hammer, helkopter, anaishi kwenye mahekalu, imebidi kujipendeza najua ushaelewa kinacholindwa hapo.
 
Last edited by a moderator:
hivo ndivo linavosomeka gazeti la WEMBE, huenda ameback fire ile kauli ya Gwajima aliodai hakuwahi kumuunga mkono ilhali hata mwendawazimu hahitaji evidence ili ajue Gwajima ni muongo au ni mkweli.

Kweli magufuli kaleta kiwewe, MTU akifikria anatembelea hammer, helkopter, anaishi kwenye mahekalu, imebidi kujipendeza najua ushaelewa kinacholindwa hapo.
Hata wewe ni mnafiki, teamlowassa kumponda Gwajima ni unafiki.
 
Nadhani kama ni emuelewa Assadsyria hapa anayesemwa mnafiki ni Mchungaji Gwajima. Si Lowasa. Lowasa anabaki na sifa yake kuu ya Fisadi Mkuu ambayo hakuna aliyempokonya mpaka sasa. Ataendelea kutambulika kuwa ndiye fisadi mkuu kuwahi kutokea hapa Tanzania
nashangaa sana wanaomuunga mkono huyu jamaa yaaani siwaelewewi kabisaaa wanakua kama wanawake vigumu kuelewa wanataka nn hasa
 
Kuna mtu kasema wote wanafki mkuu.kuhusu ufisadi siwezi sema sana pkn nnajiuluza tu haya yote yanayojidhihirisha sasa yahusuyo ufisadi mkuu ulokuwa unafanywa kwe serikali ya mjomba wenu,hivi bado hamuoni aibu kuendelea kumkingia kifua kuwa yy siyo fisadi babu!!.
punguzeni mahaba ya kitumwa.kila kitu ngosha kafukunyua na tunaona.
 
Rais kikwete ni rais mwenye vision na maono ni moja ya marais wachache sana hapa afrika,kajenga uchumi imara wenye kukuuwa kwa wastani mzuri sana, by Lowassa

baada ya kuingia ukawa, Rafiki yangu kikwete ameuwa nchi kaharibu uchumi nchi haieleweki kwa lazima mabadiliko yaje by lowassa

Gwajima na lowasaa,+ MMbowe +Lissu+Msigwa +Mnyika, +Kubenea hawa wanatakiwa tuitishe mashindano ya wanafiki hapa nategemea kuna watu watakaa mbele ya bendera kwa ushindi A+
 
hivi Gwajima hajui Lowasa atakuwa rais muda si mrefu? Lowasa lazima ashinde kesi mahakama ya kimataifa na urais wa magufuli utatenguliwa
Ndoto ya saa tano Asubuhi hii atashinda kesi kwa katiba IPI?
Hawa wasanii wakichungaji waliishi kifalme akipata Mia inaingia mfukoni kama ilivyo hakuna kukatwa kodi sasa lazma walipe kodi ndo maana wanaanza leta maigizo
 
hivo ndivo linavosomeka gazeti la WEMBE, huenda ameback fire ile kauli ya Gwajima aliodai hakuwahi kumuunga mkono ilhali hata mwendawazimu hahitaji evidence ili ajue Gwajima ni muongo au ni mkweli.

Kweli magufuli kaleta kiwewe, MTU akifikria anatembelea hammer, helkopter, anaishi kwenye mahekalu, imebidi kujipendeza najua ushaelewa kinacholindwa hapo.
Eti gazeti linaitwa Wembe! kweli IQ za Watanzania wengi ni za kutiliwa shaka.
 
nashangaa sana wanaomuunga mkono huyu jamaa yaaani siwaelewewi kabisaaa wanakua kama wanawake vigumu kuelewa wanataka nn hasa
Hilo swali Nimeshindwa kulipatia jibu. Huwa Najiuliza sana ni kipi hasa kinachowafanya watu wamshabikie mtu usieweza kumtetea Kwa hoja za msingi hata kama ujitie wehu.
 
Back
Top Bottom