DuppyConqueror
JF-Expert Member
- Mar 30, 2014
- 9,466
- 6,970
Nadhani kama ni emuelewa Assadsyria hapa anayesemwa mnafiki ni Mchungaji Gwajima. Si Lowasa. Lowasa anabaki na sifa yake kuu ya Fisadi Mkuu ambayo hakuna aliyempokonya mpaka sasa. Ataendelea kutambulika kuwa ndiye fisadi mkuu kuwahi kutokea hapa Tanzania
Sasa ndo nini? Unasema hamna kitu kama team lowassa alafu unasema team lowassa imegawanyika ktk makundi mawili! Wee ni bavicha??Hakuna kitu kama team lowassa mkuu...ukiangalia kwa ukaribu utagundua team lowassa imegawanyika makundi mawili...
a) 4 U Movement
b) M4C
Dr Slaa was right!Mshenga ni mnafiki.. Hahaha!
wanaume magufuli ndie Fisadi mkuu ndio maana serikali yake kaweka mafisadi kibaoNadhani kama ni emuelewa Assadsyria hapa anayesemwa mnafiki ni Mchungaji Gwajima. Si Lowasa. Lowasa anabaki na sifa yake kuu ya Fisadi Mkuu ambayo hakuna aliyempokonya mpaka sasa. Ataendelea kutambulika kuwa ndiye fisadi mkuu kuwahi kutokea hapa Tanzania
Ampokonye urais Magu? Ahahahahaaa atangoja sanahivi Gwajima hajui Lowasa atakuwa rais muda si mrefu? Lowasa lazima ashinde kesi mahakama ya kimataifa na urais wa magufuli utatenguliwa
Uwiiii lol. Hivi kumbe bado una homa ya kutokubali kuwa ukawa ilishindwa urais. Jamani jipuuuu hiliii mtumbuaji lifanyie kazi maana hawa ndio wanaoanzishaga chokochoko kimasharahivi Gwajima hajui Lowasa atakuwa rais muda si mrefu? Lowasa lazima ashinde kesi mahakama ya kimataifa na urais wa magufuli utatenguliwa
Tutake wanawake radhi mkuu lol.nashangaa sana wanaomuunga mkono huyu jamaa yaaani siwaelewewi kabisaaa wanakua kama wanawake vigumu kuelewa wanataka nn hasa
Ndio kashamjibu tayari...Lowasa chonde chonde, usimjibu gwajima kitu chochote
Watz muwe na utashi wa kuchagua vyanzo vya habarihakika inashangaza kwa jinsi kolabo ya wanafiki wanavyorukana baada ya kukwaa kisiki. wanasiasa wana kawaida kutaka kuungwa mkono na mtu yeyote mwenye ushawishi hata kama ni shetani. mchungaji feki gwajima eti anamruka laigwenan lowassa wakati alijidai wanaompinga wanywe sumu.
Sasa nimeamini wewe ni miongoni mwa wa wale waliodeki barabara Lowasa apitehivi Gwajima hajui Lowasa atakuwa rais muda si mrefu? Lowasa lazima ashinde kesi mahakama ya kimataifa na urais wa magufuli utatenguliwa