Alfan issa
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,291
- 900
Gwajima mmh!
hivi Gwajima hajui Lowasa atakuwa rais muda si mrefu? Lowasa lazima ashinde kesi mahakama ya kimataifa na urais wa magufuli utatenguliwa
It is a matter of time, haters and hypocrites will soon give a loud cryHivo ndivo linavosomeka gazeti la WEMBE, huenda ameback fire ile kauli ya Gwajima aliodai hakuwahi kumuunga mkono ilhali hata mwendawazimu hahitaji evidence ili ajue Gwajima ni muongo au ni mkweli.
Kweli Magufuli kaleta kiwewe, MTU akifikria anatembelea hammer, helkopter, anaishi kwenye mahekalu, imebidi kujipendeza najua ushaelewa kinacholindwa hapo.
Zifuatazo ni alama kuu za mnafiki:lowassa si mnafiki labda mtu awe hajui tafsiri sahihi ya neno MNAFIKI
Zisome alama kuu tatu za mnafiki kama ifuatavyo;lowassa si mnafiki labda mtu awe hajui tafsiri sahihi ya neno MNAFIKI
Anjielewa wapi, anajua amepiga mpunga , akisubutu tu Gwajima anamropokeaMbowe anajielewa aisee huwa hakurupuki aisee
Hahaa, umekumbusha mkuu. Mbowe atakuwa anahaha kuipata sauti aliyorekodiwa ili apoteze ushahidi.Haujui kuwa Gwajima anarekodi kila mazungumzo. Hata ukienda kutubu anakurekodi sasa unafikiri hakuwarekodi kina Mbowe? Sasa ndio Chadema watajua faida ya kudeal na machizi.
Leo mnaungana na Serikali kutaka abomolewe?hivi kanisa lake pale tanganyika parkers kaishaondoa?
Mkuu naomba uzingatie matumizi na maana sahihi ya neno "Back fire" tafsiri ya moja kwa moja kwenda Kiswahili inaleta maana potofu kabisa issiyo sahihiHivo ndivo linavosomeka gazeti la WEMBE, huenda ameback fire ile kauli ya Gwajima aliodai hakuwahi kumuunga mkono ilhali hata mwendawazimu hahitaji evidence ili ajue Gwajima ni muongo au ni mkweli.
Kweli Magufuli kaleta kiwewe, MTU akifikria anatembelea hammer, helkopter, anaishi kwenye mahekalu, imebidi kujipendeza najua ushaelewa kinacholindwa hapo.
mkuu yaan amini usiamin mbowe ndo 'HUB' ya haya yoteTumesikia mengi kuhusu Lowassa kuhamia CHADEMA. Waasisi watatu wa Lowssa kuhamia Chadema ni Dr. Slaa, Freeman Mbowe na Mshenga Gwajima. Tangu Lowassa ahamie Chadema na kuteuliwa kugombea urais kupitia chama hicho na kushindwa kwake, tumekuwa tukisia maneno maneno kati ya Gwajima, Dr. Slaa na sasa ni maneno kati ya Dr. Slaa, Gwajima na Lowassa. Dr. Slaa vs Gwajima na Gwajima vs Lowassa.
Ukimya wa Mbowe kuongelea sakata hili linatuambia nini? Hajui kinachoendelea? Kuna kitu anaogopa akitia neno kitamrudia? Au ni mstaarabu?
Nathamani kusikia neno kutoka kwa MBOWE, mwenyekiti wa Chadema Taifa. KIU YANGU KUBWA NI MBOWE ANAMZUNGUMZIAJE GWAJIMA hasa baada ya Gwajima kusema hakuwahi kumuunga mkono Lowassa bali mabadiliko.
Hofu yangu: Mbowe akifungua kinywa chake kumzungumzia Gwajima yanaweza kumtokea puani, LABDA aamue kumsema kwa mazuri, jambo ambalo pia ni gumu kwa sababu atakosa MAZIWA.
nenda jukwaa la lughaMkuu naomba uzingatie matumizi na maana sahihi ya neno "Back fire" tafsiri ya moja kwa moja kwenda Kiswahili inaleta maana potofu kabisa issiyo sahihi
Naamini kwa kutumia neno hilo ulikuwa na maana response, hit back nk
Naomba kuwasilisha
hivi Gwajima hajui Lowasa atakuwa rais muda si mrefu? Lowasa lazima ashinde kesi mahakama ya kimataifa na urais wa magufuli utatenguliwa
Ukiwemo na wewe.hii nchi inawanafiki wengi sana
Hebu tuondolee uzuzu wako hapa, yaniuandike broken ung'eng'e halafu tukuache usisahihishwe wewe ni nani kwani?nenda jukwaa la lugha