Akuna kitu kibaya kama utumwa wa kiuchumi usababisha kumpenda hata mwizi kwa sababu ya utumwa huo kwani mmesaau lowasa alipouza kiwanja cha mnazi moja kwa bagdad muhindi wakati akiwa waziri wa ardhi na leo lowasa akipata urais masai wote watalisha ng'ombe kwenye mashamba ya wakulima mkumbuke wakati wa sokoine masai walisambaa kwa mwaka moja nchi nzima na ng'ombe zao na wanaompenda wakanywe naye chai huko longido watu wa longindo wanakunywa maji yenye rangi ya kaki hizo pesa anazogawa kwanini asiwachimbie visima, mbona wakati masai wanaporwa ardhi ya loliondo alikaa kimya