Lowassa: Daima Mbele Nyuma Mwiko

Lowassa: Daima Mbele Nyuma Mwiko

Lowassa sio fisadi wala hajawahi kuwa fisadi. ila yy ndio muarobaini wa ufisadi Tanzania
siwezi kubishana na ww unaejua in and out ya siasa ya tanzania,im sure u knw everything unajipumbaza tu
 
tatizo anarushiwa vyakula na vinywaji unategemea atashindwa??....hand granade moja inatosha kumkatisha safari...

teh tehe teeh anapigwa na Wazenj nadhani
 
Ama kweli! Nyumba zilizochoka zinapakwa rangi, ili kuwaweka wapangaji......kinachoendelea mie hapo sijui....
 
Akuna kitu kibaya kama utumwa wa kiuchumi usababisha kumpenda hata mwizi kwa sababu ya utumwa huo kwani mmesaau lowasa alipouza kiwanja cha mnazi moja kwa bagdad muhindi wakati akiwa waziri wa ardhi na leo lowasa akipata urais masai wote watalisha ng'ombe kwenye mashamba ya wakulima mkumbuke wakati wa sokoine masai walisambaa kwa mwaka moja nchi nzima na ng'ombe zao na wanaompenda wakanywe naye chai huko longido watu wa longindo wanakunywa maji yenye rangi ya kaki hizo pesa anazogawa kwanini asiwachimbie visima, mbona wakati masai wanaporwa ardhi ya loliondo alikaa kimya
 
Mkuu paragraph yako inajikanganya kidogo. Kwanza unasema akichukua uraisi wamasai watanyanyasa wakulima kama enzi za sokoine, halafu unakuja sema mbona watu wake wanakkunywa maji ya kaki na wamasai walipoporwa ardhi alikaa kimya?
Mimi sijakuelewa.
 
bora useme ww, maana jamaa nmeshindwa kumuelewa
 
Mzee wetu Mangula kaa chonjo kesi hiyo ndiyo mwisho wako kisiasa.
 
Lowassa kaanza kujipanga toka 2005 eti ndio mumzuie leo!! Thubutuu. Too late for Mr Mangula
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom