Lowassa: CCM isijidanganye

Try your best mum, poor grammar sio tatzo langu naona akil yako ndo ina poor grammar, kama hukuelewa mute, kumbuka bibie hujanilipia ada how dare you unabwatuka misli ya mbwea
Ila naona kuendekeza ukoloni ndo jadi yenu watawala maana hta nchi yetu tuna almasi sijui dhahabu mara tanzanite ila faida yake hatuioni wanaishia kunufaika wazungu tu hku wakipewa misamaha ya kodi ya mabilion ya shilingi kila mwaka.

So kwa watu kma nyie ambao mnaaminishwa kuongea kingereza ndo inaonekana umesoma sana sishtuki nikiskia mko ccm maana na wenyewe wameendekeza ukoloni mpaka leo.
 
hate your dad who taught you to hate the ruling party
 
hate your dad who taught you to hate the ruling party
Yeah amekuwa role modal wangu kitaaluma na chanzo cha mimi kuipenda siasa coz aliwanyoosha sana nyie watawala hasa bunge la 9.
 
Niameanza kukuelewa kumbe, role nini
How dare u question my language literacy level just coz of a mere typing error of a single letter?? Check my other posts and tell me wea have i made a mistake as far as grammar is concerned??
Hate it or like it like father like son
 
Maneno yote hayo ili yeye awe Rais, na atayabadili punde tu atakapoukosa tena, na ni lazima aukose.
 
How dare u question my language literacy level just coz of a mere typing error of a single letter?? Check my other posts and tell me wea have i made a mistake as far as grammar is concerned??
Hate it or like it like father like son
Chonka bojosi abantu mmmmh, mkuki kwa binadam hauwez ukawa mtamu
 
Chonka bojosi abantu mmmmh, mkuki kwa binadam hauwez ukawa mtamu
Mkuuu acha chuki binafsi mie nlitoa tu ushauri kuwa hainaga haja ya kumix lugha ya kiingereza na kiswahili muda mmoja nashangaa ukaichukulia kma ligi.
Maana nakusaidia tu kma unahisi unaweza english basi iongee yote na sio nusu nusu hilo nafkiri kila mzalendo ataniunga mkono. Maana itakuwa haina tofauti ya wwe msomi wa umeme na yule miss tanzania anayeweka "its like" ,"u know","of course" n.k binafsi huoni inaudhi ??
 
asante sana naona upo busy kuipekenyua pr yangu
 
Ccm itaondoka,ipende au isipende.mwisho ukifika miti yote hutereza.
 
ACT Wazalendo ndio chama kikuu cha upinzani ndani ya mioyo ya Watu..

Watu hawana hamu tena na lile chaka la mafisadi chadema.
 
hahahahaahahaha pole
 
Andiko lako refu lakini halina maana ccm hitatoka madalakani na itatolewa na wananchi awa awa ambao mnawaona marofa,washenz ,wajinga , wapumbavu watu wasio n mwelekeo Mme kuwa mkidharau maoni na mawazo yao

Rasimu ya katiba mpya ambayo hilikuwa na rafiki kwa wantazania wote imedharaulika na mwisho wa siku ikatengenezwa katiba inayo pendekezwa kwa mawazo ya chama kimoja cha ccm Leo hii hatuwezi kufanya chochote kwenye maswala ya uchaguzi kwa maana katiba bado ina wabeba chama tawala rasi wakwao tume yao wakurungezi wa kwao watendaji wakwao madc wa kwao ma RC wa kwao kibaya zaidi katiba inampa mamlaka rais kuwateua awa watu

Lakini Nina amini ipo siku tume huru itapatikana kutoka kwa wananchi waliochoka na utawala na mfumo mbovu wa uongozi ungozi wa kibabe, uongozi unaopuuza mawazo ya watanzani na hapo ndipo ccm itatoka madalakani

Naamini ccm itolewa na watanzania ambao watasema basi kama kufa wachatufe lakini hatupo tayr kuendelea kuongozwa na ccm IPO siku na ndio itakuwa mwisho wa ccm haijarishi watu wa kufa au kupoteza maisha yao hakuna jambo lisilo na mwisho
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…