Boniphace Bembele Ng'wita
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 3,533
- 1,936
mkuu upon sahihi kwa kiwango chake ila pia mgombea asiwe Edo...Kuiondoa CCM ni rahisi sana endapo tume ya uchaguzi itakua huru ata 2015 walikua out ila kwa tume hii inayoripoti kwa mtukufu tusahau.
Mkuu huu uandishi wako Mungu anakuona. "wapigakula = wapigakura" mara uchanganye herufi kubwa katikatiEdo, hawezi kuwa rais Wa nchi hii never ever, may b nchi iwe gizani na wapigakula wote wawe Wa A.town
bila hvyo hawezi, na Sabah kubwa ni 1yy ni fisadi no 1, yy anajua na watz wote tunajua,
asante mkuu, hii lugha inanipa shida ukichanganya na sehem nlipotoka ndo balsa kabisaMkuu huu uandishi wako Mungu anakuona. "wapigakula = wapigakura" mara uchanganye herufi kubwa katikati
Itakuwa umetoka Congo mkuuasante mkuu, hii lugha inanipa shida ukichanganya na sehem nlipotoka ndo balsa kabisa
Kweli alisema tukipewa ridhaa CCM tupige kazi kweli kweli naona USHAURI wake unazingatiwa na Awamu ya 5 ,kazi inapigwa HASA.Unaongea tu bila fact,unakumbuka wakat anaomba wadhamini arusha akiwa CCM,alisema muda Wa vyama vivyotafuta Uhuru kuendelea kukaa madarakani umepita,tukipewa ridhaa ya kuongoza nchi tufanye kazi kweli kweli maana vyama vyote karibia vinatoweka vile vya zamani
Kwenye red, kwanini akatumia gharama kubwa kugombea kwa chama ambacho muda wake 'umepita'? Iko siku Watanzania wataelewa nini kinapiganiwa, na watabaki mdogo wazi.[/QUOTE
alikuwa anamaanisha kuwa kama watapata fursa tena ya kuaminiwa na WAtanzania basi waitumie vizuri,
kuna watu hawajitambui dhahir kwa comment zao kama ww, kiingereza na kiswahili na wewe umefanya nin, mbogaHivi ni lazima kutumia kiingereza na kiswahili muda mmoja?? nahisi ungeendelea na kiswahili tu ningekuelewa hta kma tunatofautiana mawazo naheshim maoni yako ila kma hujui lugha vizuri sio lazima uitumie humu ilimradi uonekane msomi.... GROW UP
Maneno ya wanasiasa matamu amesahau alisema nn wakt yuko ccmUnaongea tu bila fact,unakumbuka wakat anaomba wadhamini arusha akiwa CCM,alisema muda Wa vyama vivyotafuta Uhuru kuendelea kukaa madarakani umepita,tukipewa ridhaa ya kuongoza nchi tufanye kazi kweli kweli maana vyama vyote karibia vinatoweka vile vya zamani
nimesisitiza kwa lugha unayoielewa hapo mwishoni. Mix kama unaweza sio poor grammar kama yako utafkiri upo vidudu. inakera sana kuendekeza ukoloni hadi kwenye lughakuna watu hawajitambui dhahir kwa comment zao kama ww, kiingereza na kiswahili na wewe umefanya nin, mboga
Huku A-Town tayari tulishamkataa bro ndo maana akifanya mkutano anakodi magari toka kona zote za mikoa jirani na A-town kubeba watu aonekane anapendwa sana.Edo, hawezi kuwa rais Wa nchi hii never ever, may b nchi iwe gizani na wapigakula wote wawe Wa A.town
bila hvyo hawezi, na Sabah kubwa ni 1yy ni fisadi no 1, yy anajua na watz wote tunajua,
cha kushangaza cdm wanamtaka agombee tena 2020,Huku A-Town tayari tulishamkataa bro ndo maana akifanya mkutano anakodi magari toka kona zote za mikoa jirani na A-town kubeba watu aonekane anapendwa sana.
Sasa wewe unafikiri umungu mtu utaendelea kuvumiliwa na Mungu aliye hai?kwani huoni Ghana,Gambia ,Zambia ,Kenya, Malawi nk unafkiri vyama tawala huko hawakupenda kung'ang'ania madarakani?Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa ameitaka CCM iache kujidanganya kuwa haiwezi kuondoka madarakani akiitaka iangalie alama za nyakati hasa mabadiliko ya uongozi yanayotokea kwingineko duniani.
Hata hivyo, Lowassa ambaye ni mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA amesema unahitajika muungano wa dhati wa vyama na uliopangiliwa vizuri katika juhudi za kuiondoa CCM madarakani.
Lowassa alisema hayo alipoombwa na mwandishi wa habari hizi kutoa tathmini ya maisha yake ya kisiasa mwaka mmoja na nusu tangu alipojiondoa CCM na kujiunga na CHADEMA ambako aliteuliwa kuwa mgombea urais wa chama hicho akiwakilisha muungano wa vyama vinne – CHADEMA, CUF, NCCR - Mageuzi na NLD – Iliopewa jina la Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA).
Chanzo: Gazeti la Mwananchi leo.
Wazo binafsi: Ni vyema Lowasa akajitambua kwani CCM haitaondolewa na upinzani unaongozwa na yeye wala Mbowe wala CHADEMA ya sasa.
Try your best mum, poor grammar sio tatzo langu naona akil yako ndo ina poor grammar, kama hukuelewa mute, kumbuka bibie hujanilipia ada how dare you unabwatuka misli ya mbweanimesisitiza kwa lugha unayoielewa hapo mwishoni. Mix kama unaweza sio poor grammar kama yako utafkiri upo vidudu. inakera sana kuendekeza ukoloni hadi kwenye lugha
Kumbuka kuwa alipata kura mil 6.Lowassa hana madhara kama nyoka wa Bujora makumbusho asahau kabisa kuja kuwa rais wa nchi hii