Lowassa azungumzia afya yake, Rushwa katika Chaguzi za CCM...

Lolest! Hata kama kaumia atasema???

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
miongoni mwa watu wachache mliorogwa ni wewe!!!! Hivi unaposema ametubu wakati uvccm na uwt tumeona rushwa waziwazi kwa wapambe wake hivi unaakili wewe ....umerogwa weewe!

Si ndio nakwambia?, yaani tumeona kabisa Lowassa aki transfer hela kuwapa wapambe wake! tena aliwapa cash, si unakumbuka?. halafu watu watabisha wakati wapambe wenyewe wameandikwa USONI mie wa Lowassa?

Kwanini wabongo hawataki kukubali Lowassa amechafuka?
 
Hivi wakati akiwa PM, EL aliweka mikakati gani kupunguza tatizo la rushwa?

ENZI Hizo alikuwa JEMEDARI wa RUSHWA... na alidhani atabakia WAZIRI MKUU na kupewa URAIS kwa KIGANJA... Sasa yamebadilika, haendi MBALI toka 1995... YEYE anayoyaona ni ya kuanzia 2010 tu... RUSHWA za NYUMA kazisahau... NDIO MAANA anakwenda UJERUMANI kila MWEZI
 
:biggrin1: wabeba mabox hawaruhusiwi kuonana na mheshimiwa...we usubiri katibu kata wa kijijini kwenu akija huko ndio utaenda kumuona
Mkuu huyu ni kiongozi wa wote, alishakuwa Waziri Mkuu wetu kumbe sidhani kama atakuwa kama wewe unavyofikiri kujikweza huko. Alafu, kwani mbeba mabox ana shida gani? Kumbuka jinsi ambavyo anashirikiana na watu hata wa kada ya chini huko nyumbani itakuwa mie huku ughaibuni hata kama ni mbeba mabox? After all mie nataka kumsalimu siyo kumuomba pesa ama msaada maana sijajilipua naishi kihalali kabisa.
 
hivi hawa wenzetu wanaokwenda kutibiwa munich wakifa funza wao ni tofauti na mie ninayetibiwa amana??? acheni ubinafsi viongozi wa nchi hii, boresheni mazingira ya hospitali tanzania ili wote tutibiwe hapa! yule mwingine nyonga to india, bibi ana makinda naye alikwenda juzi apollo, huyu baba lowasa munich! hivi nyie hata vizingiti vya amana mnavijua kweli???? puuuuuuuuuuuuuuuu!
 
Ilitakiwa iwe hivyo lakini tulipuuzia kuona hilo sasa ndiyo hali halisi, hata huku wanakuja katika hospitali(Klinikum) ambazo si za watu mashuhuri bali kwa wote, maana huku hakuna umashuhuri katika huduma, ili mradi una tatizo la kukupeleka hospitali, utaenda tu na utapewa huduma hizo. Sana sana, kuna hospitali maalumu kwa magonjwa maalumu. Tukijifunza kupannga mipango vizuri na kuisimamia, kuna siku hatutofunga safari kwenda kutibiwa mbali.
 
...lengo la kutuambia afya yake ni njema au sio njema ni nini!?
Siyo yeye bali Media ndiyo zilitaka kujua ili wawajulishe watu, kumbe hakuita press conference bali media zilifuatilia kama sehemu wa wajibu wao. Yeye ametoa ushirikiano tu na hao jamaa wa media.
 
Lowasa ana Good persepective about TAKUKURU,but sio mtu wa kumuamini hata kidogo from time to time tunaona madudu yake,but i think anataka avae ngozi ya kondoo wakati tunajua ni mbwamwitu mbaya ambaye ana njaaaa ya madarak
chakuzingatia ni kwamba mtu yeyeto awezi kukimbia his past bana,always shadow of his past is one step behind him !
 
Jinias! Lowassa anaiba hata Tandale huku tunamuona! Huyu ni kibaka kabisa! KILA MTU ANAJUA Lowassa mwizi! Ashaiba mpaka Kariakoo!! Au sio?
 
Back
Top Bottom