Lowassa atoa kauli kali sana kanisani

Lowassa atoa kauli kali sana kanisani

CCM bana anayetakiwa na watu hatakiwi namkumbuka yule mzanzibar aliyeambiwa si raia Dr.salim Ahmed.
Anatakiwa na watu gani acha kutuzingua bana wewe sema kwamba unamtaka wewe siyo kwamba anatakiwa na watu usitukosee adabu kiasi hicho.
 
Mwaka huu siasa itakuwa tamu bongo. Tv zetu kwa nini zisijiunge online?
 
Ni haki yake, lakini katibu mkuu wa chama ameshasema uadilifu itakuwa kigezo cha kupima wagombea...mimi binafsi sijawahi kumuona huyu mtu ana kwa ana ila nasikia ni tajiri kupindukia na richa ya makandokando yote yanayomzunguka hajawahi kukemea ufisadi au wizi wa mali ya umma ambalo ni swala nyeti sana kwa wakati huu ukizingatia rasilimali gesi tuliyovumbua nchini mwetu.. Je akiwa rais hawezi kufumbia macho wizi kweli huyu???? maana waswahili wanasema nyota nzuri huonekana asubuhi... hakyamungu CCM wakimpitisha huyu simpigii kura
Hawezi kukemea wizi na ufisadi kwakuwa yeye mwenyewe ni fisadi mkubwa pengine baada ya mengi anafuata yeye halafu anakuja mkono.
 
Lkn Lowasa ni JEMBE na ni Mtu mwenye haiba kubwa ,jasiri aliejizulu kama Mwinyi ambae baadae amekuja kua Rais asiekua na kashfa .
Wengi tunamuunga Mkono na afya yake ni timamu kabisa. Ni wa Pekee kwa wagombea wote. Ni mchapa kazi wa ajabu hata sasa , anaejali sana watu akionekana mara nyingi kwenye majanga mbalimbali yanayowasibu wananchi - anajali Watu - Mungu atamwezesha.
Kwako wewe mtu akijiuzulu ndiyo sifa ya kuwa Rais kazi kweli.
 
Tanzania eeeee ukiwa tajiri fisadi tumeaminishwa shida raha hatukuumbiwa,aliyeturoga bora angekuwa alikufa akazikwa tungeenda kutambika ila nahisi alipotea na air malaysia ndo mana
 
Kuna siku huyu Lowasa na wezi wengine wote watatujibu tu umma wa Tanganyika!wezi wakubwa!
 
Katika ibada ya kuwekwa wakfu askofu wa kanisa la KKKT, mgombea urais wa chini chini kwa ticket ya CCM Edward lowassa ametoa matamshi makali sana dhidi ya watu wanaodhani nchi hii wana hati miliki nayo " Hii ni nchi yetu sote, hamna mtu mwenye hati miliki na nchi hii" Bila shaka alikuwa anapeleka ujumbe mzito sana kwa familia ya Rais, waache kabisa kumpigia debe waziri Membe kinyume cha utaratibu unaoeleweka na chama.

My take: huyu mtu akija pata madaraka atalipiza kisasi kibaya sana...ana hasira sana sana...

Wewe ni mwongo wa kutupwa,

Kwanza hata hujui Askofu aliyewekwa wakfu ni nani na ni wa Dayosisi ipi (na kwa hakika inavyoonekana huelewi chochote kuhusu Ukristo,Uaskofu,KKKT na masuala ya wakfu maana hueleweki ulichokiandika hapa)

Pili,nimehudhuria Ibada ya kuwekwa wakfu Baba Askofu Dr.Frederick Onaeli Shoo wa Dayosisi ya Kaskazini,ibada iliyofanyika leo katika Kanisa Kuu la KKKT Mjini Moshi,ukweli ni kwamba hakuna kiongozi yeyote wa kisiasa aliyepewa nafasi ya kuzungumza zaidi ya Mh.George Huruma Mkuchika aliyefika kumwakilisha Mh.Rais Kikwete.

Nasisitiza hivyo,hakuna kiongozi aliyepewa nafasi ya kusalimia,si Lowassa tu,walikuwepo viongozi wengi na watu maarufu wengi -mfano, Mh.Sumaye,Lazaro Nyalandu,Mh.Mbowe,Mh.Mbatia,Mh.Lema,Mh.Mengi,Felix Mosha nk....lakini ukweli ndo huo hakuna yeyote kati yao aliyepata nafasi ya kuzungumza.

Mods please futilia mbali uzi huu na ingefaa mleta uzi apigwe ban ya mwezi mzima ili awe na discipline; uzushi wa namna hii hauna afya kwa jukwaa hata kidogo.
 
Nasikia wanajeshi wanampenda sana jamaa sijui ndio maana NEC inataka hao jamaa wasimamie uchaguzi.?
 
Wewe mwongo huelewi hata ulichoandika,nilikuwepo kanisani na hakuna kiongozi yeyote wa kisiasa aliyepata nafasi ya kuzungumza zaidi ya Mh.George Huruma Mkuchika aliyefika kumwakilisha Mh.Rais Kimwete.

Walikuwepo viongozi wengi tu, Mh.Lowassa, Mh.Sumaye,Mh.Nyalandu,Mh.Mbowe,Mh.Mbatia,Mh.Mengi,Mh.Edwin Mtei,Mh.Lema...lakini hakika hakuna hata mmoja kati yao aliyepata nafasi ya kusimama na kusalimia.

Pili nawaomba mods wakupige ban ya kudumu ili ujifunze kuacha umbea na uzushi.
 
Nasubiri movie ya kuanzia mwez wa nne tu baada ya uamuz wa CC.
yani hapo mkuu ndipo patamu. El akipitishwa tu kuna watu matumbo yao yatakuwa moto. Madhaifu mengine kama membe na nyalandu yapitishwe then ccm bye byen
 
aiseee babayangu huyu jamaa hajui nyumba ya ibada wala nini anamwaga ya ya moyon
 
Wewe ni mwongo wa kutupwa,

Kwanza hata hujui Askofu aliyewekwa wakfu ni nani na ni wa Dayosisi ipi (na kwa hakika inavyoonekana huelewi chochote kuhusu Ukristo,Uaskofu,KKKT na masuala ya wakfu maana hueleweki ulichokiandika hapa)

Pili,nimehudhuria Ibada ya kuwekwa wakfu Baba Askofu Dr.Frederick Onaeli Shoo wa Dayosisi ya Kaskazini,ibada iliyofanyika leo katika Kanisa Kuu la KKKT Mjini Moshi,ukweli ni kwamba hakuna kiongozi yeyote wa kisiasa aliyepewa nafasi ya kuzungumza zaidi ya Mh.George Huruma Mkuchika aliyefika kumwakilisha Mh.Rais Kikwete.

Nasisitiza hivyo,hakuna kiongozi aliyepewa nafasi ya kusalimia,si Lowassa tu,walikuwepo viongozi wengi na watu maarufu wengi -mfano, Mh.Sumaye,Lazaro Nyalandu,Mh.Mbowe,Mh.Mbatia,Mh.Lema,Mh.Mengi,Felix Mosha nk....lakini ukweli ndo huo hakuna yeyote kati yao aliyepata nafasi ya kuzungumza.

Mods please futilia mbali uzi huu na ingefaa mleta uzi apigwe ban ya mwezi mzima ili awe na discipline; uzushi wa namna hii hauna afya kwa jukwaa hata kidogo.

Taarifa ya habari ITV jana usiku: Lowassa aliongea akasema: Nchi hii ni yetu sote hamna mtu mwenye hati miliki na nchi hii" subiri kuna watu waliona watatokea sasa hivi kuku prove wrong mwongo wewe kama jina lako liongo
 
yani hapo mkuu ndipo patamu. El akipitishwa tu kuna watu matumbo yao yatakuwa moto. Madhaifu mengine kama membe na nyalandu yapitishwe then ccm bye byen

Hahaha......yangu makyo 2!!!! Na kampango kao ka kumweka Membe aise huyo ni JK wa pili!!!
 
Katika ibada ya kuwekwa wakfu askofu wa kanisa la KKKT, mgombea urais wa chini chini kwa ticket ya CCM Edward lowassa ametoa matamshi makali sana dhidi ya watu wanaodhani nchi hii wana hati miliki nayo " Hii ni nchi yetu sote, hamna mtu mwenye hati miliki na nchi hii" Bila shaka alikuwa anapeleka ujumbe mzito sana kwa familia ya Rais, waache kabisa kumpigia debe waziri Membe kinyume cha utaratibu unaoeleweka na chama.

My take: huyu mtu akija pata madaraka atalipiza kisasi kibaya sana...ana hasira sana sana...

Atalipizaje kisasi kwani kafanyiwa jambo gani baya?
 
Back
Top Bottom