Lowassa atoa kauli kali sana kanisani

Lowassa atoa kauli kali sana kanisani

sifa za LOWASSA na CCM kwa ujla....lowasa hana sifa za kuwa Raisi wa Tanzania coz atakuja kulipa visasi mpaka watu watakoma, pili ccm kama anataka kufa kibudu amusimamishe Lowassa basi ndo utakuwa mwisho wa MACCM e mungu ibariki Tanzania wabalike UKAWA coz wana dhamila ya kweli kuibadili Tanzania
 
Ni haki yake, lakini katibu mkuu wa chama ameshasema uadilifu itakuwa kigezo cha kupima wagombea...mimi binafsi sijawahi kumuona huyu mtu ana kwa ana ila nasikia ni tajiri kupindukia na richa ya makandokando yote yanayomzunguka hajawahi kukemea ufisadi au wizi wa mali ya umma ambalo ni swala nyeti sana kwa wakati huu ukizingatia rasilimali gesi tuliyovumbua nchini mwetu.. Je akiwa rais hawezi kufumbia macho wizi kweli huyu???? maana waswahili wanasema nyota nzuri huonekana asubuhi... hakyamungu CCM wakimpitisha huyu simpigii kura

Akipitishwa huyu mtu, hata upinzani waweke jiwe nitawapigia kura.
Lakini icwe tabu,tungoje kwanza kikao cha kuwajadili waliotangaza nia mapema.. Walah anaweza kujitokeza mtu akajinyonga.
 
Kwahiyo unamaanisha nisawa familia ya rais wetu kufanya kampeni kwa hali na mali kutuletea membe kua rais wetu ajae?
 
Katika ibada ya kuwekwa wakfu askofu wa kanisa la KKKT, mgombea urais wa chini chini kwa ticket ya CCM Edward lowassa ametoa matamshi makali sana dhidi ya watu wanaodhani nchi hii wana hati miliki nayo " Hii ni nchi yetu sote, hamna mtu mwenye hati miliki na nchi hii" Bila shaka alikuwa anapeleka ujumbe mzito sana kwa familia ya Rais, waache kabisa kumpigia debe waziri Membe kinyume cha utaratibu unaoeleweka na chama.

My take: huyu mtu akija pata madaraka atalipiza kisasi kibaya sana...ana hasira sana sana...

Kuna jambo moja liko wazi kuhusu lowasa..nalo ni kwamba ni mgonjwa hata anavyoongea anaonyesha spana mkononi. bora achie kijiti mara moja ajipe mapunziko kuimarisha afya yake.
 
Kama hilo nikweli, kwanini wapinzani hawamuogopi mgombea yeyote ndani ya ccm ila yeye?ukipata majibu basi utaujua ukweli
 
Kama hilo nikweli, kwanini wapinzani hawamuogopi mgombea yeyote ndani ya ccm ila yeye?ukipata majibu basi utaujua ukweli
kwa sababu wanajua CCM wakimdump atajiunga ukawa kuidhoofisha zaidi!
 
Mijitu mingine bwana! Ati ujumbe mzito sana sana! Huo ujumbe mzito sana sana ndio uko wapi?
we sura kama m.a.v.i kaa kimya, its my topic
 
kwa hiyo kauli yake hawezi kuitoa mahali pengine hadi akaitolee kanisani?, viongozi namna hii huwa nashindwa kuwaelewa dhamira yao ni nini!!! hawezi kuwaita waandishi wa habari ili atoe dukuduku lake mpaka asubiri kanisani/msikitini?
 
hivi gkileo una akili timamu,?mbona unaandika kama vile ndiyo ameshapewa nafasi ya kugombea uraisi tayari,acha wenge na ushabiki wa kitoto
 
Kwanza atoe hotuba kali ya kukemea ufisadi,wizi wa mali ya umma,rushwa,katiba mbovu hapo ndo tutamwelewa,tena asitolee makanisani bali bungeni au kwenye maandamano na runinga.
 
unakumbuka dhahabu iluyokamatwa uwanja wa ndege na Mrema
 
Back
Top Bottom