johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,537
Mgombea maarufu aliyekatwa jina Edward Lowasa ametinga ukumbini na kupokelewa kwa shangwe na vifijo. wajumbe bila kujali makundi yao waliimba ' tuna imani na Lowasa'....! Mwenyekiti ameweka mezani ajenda tatu, mosi ilani ya uchaguzi, pili kuondoa ukomo wa ubunge na udiwani na tatu wagombea Urais wa Zanzibar na Tanzania. Nitaendelea kuwajuza yanayajiri!
Last edited by a moderator: