MCHUMIPESA
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 2,088
- 259
Alipokuwa anatangaza nia kule Arusha Lowassa alihutubia kwa dk 20. Juzi Mbeya kahutubia kwa dakika 16, Arusha Dakika 7 na Zanzibar Dakika 11. Hivi huyu Lowassa ataweza kuhutubia mikutano ya Kampeni zaidi ya minne kwa siku?
Ataweza kuzunguka nchi nzima kama alivyokuwa anafanya Dr Slaa? Mwisho ataweza kuhutubia Bunge kwa masaa mawili hadi matatu? Ataweza kukagua paredi ya kijeshi? Mhhhh naanza kupata mashaka.
Nadhan kama kuna nchi ya ukawa tu ndo wa risk kiasi hicho,lakin jamhuri ya muungano wa tanzania lowassa hatufai,mbali na kudhoofu kiafya,lakini hajui hotuba,ana makashfa sasa tutakuwa tumerogwa kudhani kuwa tunafanya mabadiliko kumbe tunaingia gizani zaidi,pia ukawa wenyewe huyo walikuwa wamemkataa baada ya kuingia na hela zake chafu,kawa msaf nao hawaaminiki ni watu wenyw tamaa na wasio na maelngo ni bora ya ACT
Mimi nimemuelewa vizuri sana. Maana yake ni kuwa Lowassa ni mgonjwa hataweza kazi za urais na hata himili miki miki ya kampeni na anafikiri anaweza akafa tukalazima kufanya uchaguzi tena. Jibu ni kuwa suala ala afya ni la kidaktari. Daktari pekee ndiye anayeweza kusema kuwa anaweza au hawezi. Kikwete aliingia akionekana ni mwenye afya lakini tumeshuhudia akilazwa hospitali kwa muda mrefu na mpaka sasa ana nafuu tu. Tumemshuhudia pia akianguka majukwaani wakati wa kampeni. Kwa maelezo yake mwenyewe amesema alikuwa anaumwa muda mrefu isipokuwa alificha na pia alimficha mkewe mpaka hivi karibuni alipozidiwa. Tunajuaje hata safari nyingi anazofanya nje kama sio za kujiuguza? Mwenyewe anasema anazunguka duniani ili kuhemea vibaba ili tusife njaa lakini akiwa anaumwa! Amini amini nawaambieni, Lowassa atahudhuria maziko ya baadhi ya wanomnyooshea vidole ambao wanajiona ni wazima. Sheikh Yahaya aliyekuwa akijiita bingwa wa nyota, utabiri na unajimu alikuwa anatabiri vifo vya wenzake yuko wapi sasa? Kile kipindi cha "Ugua Pole" cha TBC huwa kinatambulishwa na kawimbo kenye ujumbe mzito sana "Ajuaye Bwana Mungu kwa mzima kuwa mfu, mgonjwa kuwa salamaaa tunawapa pole"Ebu someni Post ya jamaa hapo juu vizuri, mbona wote mmeng'ang'ania kuzungumza kwa muda mrefu tu na mengine muhimu zaiidi mmeyaacha? Hapa issue wala hata siyo kutoa speech ndegu kama wengi mnavyotaka kuaminisha. Mtoa mada anaonekana ni mtu makini sana asiyekuwa na ushabiki, ila yeye anachokiangalia ni mustakabali wa taifa lake. Amkeni usingizini people.
Alipokuwa anatangaza nia kule Arusha Lowassa alihutubia kwa dk 20. Juzi Mbeya kahutubia kwa dakika 16, Arusha Dakika 7 na Zanzibar Dakika 11. Hivi huyu Lowassa ataweza kuhutubia mikutano ya Kampeni zaidi ya minne kwa siku?
Ataweza kuzunguka nchi nzima kama alivyokuwa anafanya Dr Slaa? Mwisho ataweza kuhutubia Bunge kwa masaa mawili hadi matatu? Ataweza kukagua paredi ya kijeshi? Mhhhh naanza kupata mashaka.
Mbona mleta post inasemekana anatumia ARV na hatusemi ???!
Mwaka huu Lazima tumuokote lowasa chini kabisa akiwa chali kwa kushindwa kuendelea na kampeni.
Nadhan kama kuna nchi ya ukawa tu ndo wa risk kiasi hicho,lakin jamhuri ya muungano wa tanzania lowassa hatufai,mbali na kudhoofu kiafya,lakini hajui hotuba,ana makashfa sasa tutakuwa tumerogwa kudhani kuwa tunafanya mabadiliko kumbe tunaingia gizani zaidi,pia ukawa wenyewe huyo walikuwa wamemkataa baada ya kuingia na hela zake chafu,kawa msaf nao hawaaminiki ni watu wenyw tamaa na wasio na maelngo ni bora ya ACT
Sijasema kwa nia mbaya kijana.kutokubali ukweli haitasaidia.Mzee Lowassa anahitaji kupumzika sana tena sana.kama watamuingiza kwenye mikikimikiki ya kampeni watamuumiza sana. Ni ushauri tu si lazima waufuate.Maneno hayo ndani ya CCM WAMEYASEMA sana na leo hapa tunapozungumza tayari mmoja wa Makatibu wa DSM kesha tangulia kwenye haki. Jee yeye alikuwa mgonjwa sana?
Au huyu mbona bado yupo kwa zaidi ya miaka 10 pamoja na kupiga mweleka?
View attachment 279443
Mungu mlinde Lowasa na haya majaribu endeleeni kumtukana ila Mungu anamlinda bado na atamaliza kampeni salama kabisa na Ikulu ataiona