FLASH HIDER
JF-Expert Member
- Jul 13, 2012
- 397
- 508
Huo ndo ukweli kuwa lowassa atafutia tu watu lawama, but subiri matusi na kashfa Kutoka timu dodokiAlipokuwa anatangaza nia kule Arusha Lowasa alihutubia kwa dk 20. Juzi Mbeya kahutubia kwa dakika 16, Arusha Dakika 7 na Zanzibar Dakika 11. Hivi huyu Lowasa ataweza kuhutubia mikutano ya Kampeni zaidi ya minne kwa siku? Ataweza kuzunguka nchi nzima kama alivyokuwa anafanya Dr Slaa? Mwisho ataweza kuhutubia Bunge kwa masaa mawili hadi matatu? Ataweza kukagua paredi ya kijeshi? Mhhhh naanza kupata mashaka.
Alipokuwa anatangaza nia kule Arusha Lowasa alihutubia kwa dk 20. Juzi Mbeya kahutubia kwa dakika 16, Arusha Dakika 7 na Zanzibar Dakika 11. Hivi huyu Lowasa ataweza kuhutubia mikutano ya Kampeni zaidi ya minne kwa siku? Ataweza kuzunguka nchi nzima kama alivyokuwa anafanya Dr Slaa? Mwisho ataweza kuhutubia Bunge kwa masaa mawili hadi matatu? Ataweza kukagua paredi ya kijeshi? Mhhhh naanza kupata mashaka.

Huyo Rais anayestaafu alikuwa anatupotezea muda kwa kuhutubia muda mrefu mpaka tunashindwa kuelewa alilenga nini hasa. Yaani longolongo zinakuwa nyingi na maccm ndo mlivyo kwa kuwa na longolongo sana bila maamuzi.
Sisi tunadhani Lowassa anajali muda na anahutubia kwa malengo bila kuwapotezea wananchi muda wa kufanya mambo mengine ya maendeleo kwa taifa.
Maadam kichwa chake kiko poa na kinatoa mafikara ya maana, anafaa kuliongoza taifa. kumbuka Rais wa Algeria anatembelea wheelchair na alishinda uchaguzi katika wheelchair hiyohiyo, hivyo sidhani akili yako kama ni nzuri kiasi kwamba huwezi kutanabahisha ni kitu gani unataka kwa Rais unayemtarajia.
Kama ni maguvu mbona kila siku Kinana anabeba madumu ya maji na matofali ya kujengea katika sanaa za chama lakini amekuwa proved failure?
Ukikasirika shauri yako
Sijawahi kumuona lOWASA akila hadharani. Nimesikia analishwa siku hizi. Hapo kwenye dhifa ya kitaifa akialikwa huko majuu iatakuwaje.. unaweza ukadhani nakashifu lakini just think critically.
Alipokuwa anatangaza nia kule Arusha Lowasa alihutubia kwa dk 20. Juzi Mbeya kahutubia kwa dakika 16, Arusha Dakika 7 na Zanzibar Dakika 11. Hivi huyu Lowasa ataweza kuhutubia mikutano ya Kampeni zaidi ya minne kwa siku? Ataweza kuzunguka nchi nzima kama alivyokuwa anafanya Dr Slaa? Mwisho ataweza kuhutubia Bunge kwa masaa mawili hadi matatu? Ataweza kukagua paredi ya kijeshi? Mhhhh naanza kupata mashaka.
Huyo Rais anayestaafu alikuwa anatupotezea muda kwa kuhutubia muda mrefu mpaka tunashindwa kuelewa alilenga nini hasa. Yaani longolongo zinakuwa nyingi na maccm ndo mlivyo kwa kuwa na longolongo sana bila maamuzi.
Sisi tunadhani Lowassa anajali muda na anahutubia kwa malengo bila kuwapotezea wananchi muda wa kufanya mambo mengine ya maendeleo kwa taifa.
Maadam kichwa chake kiko poa na kinatoa mafikara ya maana, anafaa kuliongoza taifa. kumbuka Rais wa Algeria anatembelea wheelchair na alishinda uchaguzi katika wheelchair hiyohiyo, hivyo sidhani akili yako kama ni nzuri kiasi kwamba huwezi kutanabahisha ni kitu gani unataka kwa Rais unayemtarajia.
Kama ni maguvu mbona kila siku Kinana anabeba madumu ya maji na matofali ya kujengea katika sanaa za chama lakini amekuwa proved failure?
Ukikasirika shauri yako
Nadhani Watanzania wanahitaji Rais wa vitendo zaidi kuliko maneno mengi kama chiriku EL ni wa maneno machache na vitendo vingi sio kuwaweka watu masaa 2 huku unaongea pumba tupu