Lowassa asisubiriwe anogewe na midundo, arejeshwe alipotoka!

Lowassa asisubiriwe anogewe na midundo, arejeshwe alipotoka!

Lowasa arudi sisiemu akaungane na wapiga dili wenzake au anataka na yeye ahongwe ndo arudi
 
Chadema ni ngumu sana kumfukuza Lowasa kwa sababu walimchukua kwa mbwembwe zote!
Ahueni ya chadema ni kumuacha Lowasa aondoke mwenyewe kwani wakimfukuza tutahitaji watupe maelezo ya kina kuhusu kwa nini walimchukua 2015, was he such an asset or liability?

Long live Dr. Slaa, tunakukumbuka sisi tulio wapinzani wa kweli! Kwa niaba ya waliokuita Dr. Mihogo naomba samahani!
 
Lowassa ni dosari kubwa ndani ya Chadema anapaswa kurudi ccm kwani ndio sehemu inayomfaa. Kitendo alichokifanya ni fursa nzuri kwa chadema kumtimua.

Chadema hawatapata sababu nyingine ya kumtimua bali wanapaswa kutumia mwanya huu. Atarudi hukohuko alikotoka na uzuri wa ccm wataanza kumsafisha
Wamfukuze kwa kosa la kumsifia raisi aliyepo madarakani? Katiba ya chadema inazuia mwanachama kumsifia/kumtembelea raisi aliye madarakani?

Ndani ya chadema Lowasa si dosari, dosari ni yule aliyelazimisha kumwingiza Lowasa kwenye chama!
 
Lowassa pekee hatoshi, Mbowe inabidi ajitathmini yeye kama mwenyekiti na katibu wake Mashinji. Haiwezekani eti chama kikuu cha upinzani kinapoteza wabunge na madiwani eti kwa kununuliwa na CCM, inamaana hata tukiwapa nchi mawaziri wao wanaweza kununuliwa. Inamaana wao hawana namna ya kupambana na hizo rushwa za CCM ?

Mnasusia uchaguzi, halafu baada ya hapo nini kinafuata ?
Toka jamaa alisema hajaribiwi mmeufyata kabisa, kutoa matamko na kurudi pangoni hakuonyeshi ukubwa wa tatizo mnalotaka kutuaminisha lipo kutoka utawala huu.
Kama uhuru na demokrasia ni muhimu ni lazima ipiganiwe, nyie ndio viongozi sasa tupeni hamasa ya kupigania huo Uhuru.

Kupambana na CCM ya sasa kunahitaji mtu mwenye uthubutu, labda Mbowe aliweza kupambana na awamu ya Maisha Bora Kwa Kila Mtanzania, ila hii ya kazi tu ni mchezo mwingine kabisa !
Hongera! Wachache watakaokuelewa!
 
Tena wamkabidhi leo hii akapambane na balozi Slaa huko
 
hahaha wapenda mabadiliko ndio hawa ambao hawajapendezwa na kitendo cha mh Lowassa kwenda ikulu sasa iweje waende nae tena mkuu???
Mkuu kundi la Mbowe ndio wasiopenda mabadiliko wao watabakia na mzee Robert hapo Ufipa!
 
Ujio wa bwana Majivuno uliniondoa kabisa mzuka wa kupigania hiki chama.
Bahati mbaya waliowengi ndio wanagundua leo tuliingizwa chaka na gia za angani.
 
Ili chadema ibaki salama Lowassa anatakiwa abaki Bila hivyo NCCR MAGEUNZI ya 1995 imefika. Ila mbowe akitoka myumbo wake si mkubwa.

Lowassa kwa sasa anamizizi mkubwa sana huko si WA kumchezea kama ZZK alivyotolewa.
 
Ili chadema ibaki salama Lowassa anatakiwa abaki Bila hivyo NCCR MAGEUNZI ya 1995 imefika. Ila mbowe akitoka myumbo wake si mkubwa.

Lowassa kwa sasa anamizizi mkubwa sana huko si WA kumchezea kama ZZK alivyotolewa.
Lowassa Lazima aondoke......
 
Katika kumsaidia Lowassa kusema na kutenda kwa uhuru na amani, CHADEMA 'imrejeshe' CCM ili akaungane na 'wenzake' wanaoyaona mema ya Rais Magufuli.Apewe uhuru wake haraka iwezekanavyo kwakuwa alipo si mahala sahihi. Aende akashauri, akasifu na kutoa suluhisho kwa mambo mbalimbali. Asisubiriwe anogewe na midundo akiwa CHADEMA!
Jifunze kupokea mawazo hasi mbona unajua kutengeneza counter affidavit unashindwa kusubiri walau siku moja usikie lowassa atasema wamezungumza nini na Magufuli?
 
Back
Top Bottom