Kifaru86
JF-Expert Member
- Apr 22, 2017
- 1,734
- 3,832
Baada ya kusikiliza hotuba fupi yake akimpongeza JPM kwa kazi nzuli anayoifanya na kuunga mkono serikali ya awamu ya tano
Licha ya kumsikia mara kadhaa ya kwamba atagombea uraisi 2020 ni dhahiri ya kwamba lowassa ameshspoteza sifa ya kuwa mgombea wa uraisi kupitia upinzani maana 2020 utagombea sera gani maana ushampongeza mpinzani wako kwa anayofanya.
Sasa tukubali tukatae huyu lowassa hana la kuzungumzia.
Naishia hapa kama kuna swali uliza utajibiwa