Kiunkweli mamvi kazingua...daah nimejikia vbaya sana
Dr. Mihogo naye itakuwaje ??Waliokuwa wanadeki barabara waje watoe ufafanuzi, na kama akihama je, watahama nae?
Huwezi kupambana na mtoza ushuru wewe!! at the end lazima utaumia tu.Lowassa pekee hatos hi, Mbowe inabidi ajitathmini yeye kama mwenyekiti na katibu wake. Haiwezekani eti chama kikuu cha upinzani kinapoteza wabunge na madiwani eti kwa kununuliwa na CCM, inamaana hata tukiwapa nchi mawaziri wao wanaweza kununuliwa. Inamaana wao hawana namna ya kupambana na hizo rushwa za CCM ?
Mnasusia uchaguzi, halafu baada ya hapo nini kinafuata ?
Toka jamaa alisema hajaribiwi mmeufyata kabisa, kutoa matamko na kurudi pangoni hakuonyeshi ukubwa wa tatizo mnalotaka kutuaminisha lipo kutoka utawala huu.
Kama uhuru na demokrasia ni muhimu ni lazima ipiganiwe, nyie ndio viongozi sasa tupeni hamasa ya kupigania huo Uhuru.
Kwa maana hiyo hakuna umuhimu wowote wa kuwa na vyama vya upinzaniHuwezi kupambana na mtoza ushuru wewe!! at the end lazima utaumia tu.
Picha tamu sana hiiSiku kadhaa zilizopita, niliandika humu JF hivi:Rais wetu tumeshamjua, twende na midundo yake!. Waliokurupuka katika kuelewa walivyotaka wakaniponda sana. Lakini, niliyaona yaliyokuwa yakitaka kutokea na yameshatokea.Leo sishauri, ila naomba. Nilishashauri:Ushauri wa mwisho kwa CHADEMA: Mfukuzeni Lowassa, Sumaye na wafuasi wao. Itumieni nafasi ya kurudi kwenye mstari wenu!
Kimsingi, Mhe. Edward Ngoyai Lowassa, Waziri Mkuu wa zamani wa Tanzania ameamua kujitokeza hadharani na kucheza midundo ya Rais Dr. John Pombe Magufuli. He appreciated and congratulated the national and fruitful deeds of our President. In fact, our President likes to be appreciated. He was sincerely moved.
Katika kumsaidia Lowassa kusema na kutenda kwa uhuru na amani, CHADEMA 'imrejeshe' CCM ili akaungane na 'wenzake' wanaoyaona mema ya Rais Magufuli.Apewe uhuru wake haraka iwezekanavyo kwakuwa alipo si mahala sahihi. Aende akashauri, akasifu na kutoa suluhisho kwa mambo mbalimbali. Asisubiriwe anogewe na midundo akiwa CHADEMA!
chadema ni mfumo. ulikuwepo upo na utakuwepo. with or without lowassa.Wewe unadhani akishaondoka Lowassa kuna Chadema tena hapo?!!!!
Sana!Picha tamu sana hiiView attachment 672369
Wewe hujielewi, lowasa chadema ameikuta na ataiacha kama alivyoikutaWewe unadhani akishaondoka Lowassa kuna Chadema tena hapo?!!!!
Lowassa ni dosari kubwa ndani ya Chadema anapaswa kurudi ccm kwani ndio sehemu inayomfaa. Kitendo alichokifanya ni fursa nzuri kwa chadema kumtimua.
Chadema hawatapata sababu nyingine ya kumtimua bali wanapaswa kutumia mwanya huu. Atarudi hukohuko alikotoka na uzuri wa ccm wataanza kumsafisha
Cha kufanya wewe ongea na mtoza ushuru aruhusu vyama vya upinzani vifanye siasa; usifikiri upo safe saana kama tutarudi kwenye chama kimoja.Kwa maana hiyo hakuna umuhimu wowote wa kuwa na vyama vya upinzani
Vifutwe, wote tuunge mkono juhudi za Chama chetu Cha Mapinduzi, maana wanamaliza ruzuku kushiriki mpambano wasioweza kushinda. Kwa nini hizo hela zisihudumie jamii baadala ya Mbowe na kundi lake ?
Siasa bana, leo dr Mihogo kaonekana wa maanambona umeandika mawazo yangu niliyotaka kuandika humu?Naunga mkono hoja afukuzwe haraka kabla ya kuchafua ama kweli "kinyesi walikitoa chooni na kukiweka sebuleni"Nukuu za Dr. Slaaa
Huu ni uthibitisho wa ufinyu wako wa kuchambua mambo. Unadhani wote humu ni CHADEMA na CCM? Bure kabisa!hahahaha yaani vijana wa ufipa mmechanganyikiwa hahahaha, chezea CCM wewe!
jeuri hiyo huna,Hata CCM hatumtaki Lowasa CHADEMA wabaki na Zigo lao