Siyabonga101
JF-Expert Member
- Mar 8, 2016
- 2,424
- 2,300
Bila kuwasahau wale makamanda waliokuwa wanahubiri na kuvaa fulana zilizokuwa na maandishi ULIPO TUPO.Waliokuwa wanadeki barabara waje watoe ufafanuzi, na kama akihama je, watahama nae?
Bila kuwasahau wale makamanda waliokuwa wanahubiri na kuvaa fulana zilizokuwa na maandishi ULIPO TUPO.Waliokuwa wanadeki barabara waje watoe ufafanuzi, na kama akihama je, watahama nae?
Chukueni zigo lenu mafisadi nyie 2020 zamu ya mwingineWewe unadhani akishaondoka Lowassa kuna Chadema tena hapo?!!!!
Wafuate tu maana aliwatoa kwa mafisadiBila kuwasahau wale makamanda waliokuwa wanahubiri na kuvaa fulana zilizokuwa na maandishi ULIPO TUPO.
Hahaa .. kama alivyopokelewa na Mwenyekiti wetu Mbowe ile 2015 hadi Lissu akaufyata, Lema na Msigwa wakafuta kauli zao za kuzomea na kupimwa akili respectively.Akipokelewa na Mwenyekiti utapinga Mkuu?
Kiunkweli mamvi kazingua...daah nimejikia vbaya sana
Mkuu Mudawote,Mahaba ya CCM yako juu zaidi kuliko kitu kingine chochote. Wewe ni mpinzani wa CCM tunakujua, wewe unajifanya mwanasheria msomi huku unashabikia utumbo wa mbow na genge lake la wezi na mafisadi
Hivi ndo kusema nimezeeka sana hata sikumbuki vizuri!!??[emoji15] [emoji15] Mnikumbushe wajameni: Kama Chadema haiwezi kuwepo bila Lowasa, hivi Lowasa alijiungaje na Chadema kama Chadema haikuwepo kabla ya yeye kujiunga nayo??Wewe unadhani akishaondoka Lowassa kuna Chadema tena hapo?!!!!
Hahahahahaha...Just Hahahaha.
CCM iliwahi kumsafisha Lowassa? CCM imefanya maovu mengi tena ya kukera mno lakini kati ya hayo si kumsafisha Lowassa.Lowassa ni dosari kubwa ndani ya Chadema anapaswa kurudi ccm kwani ndio sehemu inayomfaa. Kitendo alichokifanya ni fursa nzuri kwa chadema kumtimua.
Chadema hawatapata sababu nyingine ya kumtimua bali wanapaswa kutumia mwanya huu. Atarudi hukohuko alikotoka na uzuri wa ccm wataanza kumsafisha
Cheki liMichuzi lilivyofurahi.Picha tamu sana hiiView attachment 672369
CHADEMA inaweza gawanyika katika vipande viwili, wale wafuata upepo ambao wataenda pamoja na lowassa na kundi la wapenda mabadiliko ambao watabaki.Wewe unadhani akishaondoka Lowassa kuna Chadema tena hapo?!!!!
Lowassa kaikuta Chadema na ataiacha.Wewe unadhani akishaondoka Lowassa kuna Chadema tena hapo?!!!!
Kha! Kwani na wewe ni ccm! Una cheo gani? We ni karai tu.Hata CCM hatumtaki Lowasa CHADEMA wabaki na Zigo lao
Akipokelewa na Mwenyekiti utapinga Mkuu?
Kwani kabla hajaja lowasa cdm haikuwapo!!Wewe unadhani akishaondoka Lowassa kuna Chadema tena hapo?!!!!
Ni kama vile wapenda mabadiliko wataondoka na Lowassa!CHADEMA inaweza gawanyika katika vipande viwili, wale wafuata upepo ambao wataenda pamoja na lowassa na kundi la wapenda mabadiliko ambao watabaki.
Hahaa .. kama alivyopokelewa na Mwenyekiti wetu Mbowe ile 2015 hadi Lisau akaufyata, Lema na Msigwa wakafuta kauli zao za kuzomea na kupimwa akili respectively.