wilcoxon
JF-Expert Member
- Jun 25, 2017
- 1,265
- 3,387
Na wakati huohuo chini ya mwenyekiti wenu plus polepole walimchafua.Alisha safishwa na CHAGDEMA
Na wakati huohuo chini ya mwenyekiti wenu plus polepole walimchafua.Alisha safishwa na CHAGDEMA
Waliokuwa wanadeki barabara waje watoe ufafanuzi, na kama akihama je, watahama nae?
Mzee sasa kashakubali kwamba Urais sasa baaaaasi !! kajisalimisha.Picha tamu sana hiiView attachment 672369
Mahaba ya CCM yako juu zaidi kuliko kitu kingine chochote. Wewe ni mpinzani wa CCM tunakujua, wewe unajifanya mwanasheria msomi huku unashabikia utumbo wa mbow na genge lake la wezi na mafisadiHuu ni uthibitisho wa ufinyu wako wa kuchambua mambo. Unadhani wote humu ni CHADEMA na CCM? Bure kabisa!
wenzako tangu jana wanamwona ni nabii, wewe bado unamtukana, ama hujapata hakika ya mambo yaliyotukia jana?Dr. Mihogo naye itakuwaje ??
Zama zimebadilika mkuu! Hao wabunge anao ondoka nao wanapunguza ruzuku ya chama, sidhani kama Chadema itabaki ile ile ikiwa na ruzuku kiduchu!Wewe hujielewi, lowasa chadema ameikuta na ataiacha kama alivyoikuta
Wewe unadhani akishaondoka Lowassa kuna Chadema tena hapo?!!!!
Na CHADEMA nao wanasema kuwa mimi ni CCM damu. Mnasikitisha sana!Mahaba ya CCM yako juu zaidi kuliko kitu kingine chochote. Wewe ni mpinzani wa CCM tunakujua, wewe unajifanya mwanasheria msomi huku unashabikia utumbo wa mbow na genge lake la wezi na mafisadi
Mtaji wa CDM ni vijana wenye mwelekeo wa mabadiliko, ari na hoja mbadala na wanazidi kuwa wengi kila kukicha. ndio inaitwa NGUVU YA UMMAHyo ndio kiki yakurudia ccm bado kingunge na sumaye wakirudi 2020 hakuna kupiga kampen tena
Pole, waache wasikusumbue wakili msomi. wewe mwenyewe unajijua.Na CHADEMA nao wanasema kuwa mimi ni CCM damu. Mnasikitisha sana!
Kama wewe umezoea kujifanya, si wote. Mimi ni Mwanasheria na Wakili kweli. Si maigizo kama yako.Mahaba ya CCM yako juu zaidi kuliko kitu kingine chochote. Wewe ni mpinzani wa CCM tunakujua, wewe unajifanya mwanasheria msomi huku unashabikia utumbo wa mbow na genge lake la wezi na mafisadi
Wale waliokuwa wanadeki barabara alitoka nao ccm so akirudi ccm atarudi nao pia.Waliokuwa wanadeki barabara waje watoe ufafanuzi, na kama akihama je, watahama nae?
Hahaha, ninyi wanasheria mmekuwa chanzo cha kujifanya kuipinga serikali kupitia huyo mwenda wazimu wenu lis. Eti mnajiita mawakili wasomi. Yaani mnajifanya ninyi ni zaidi ya serikali. Kwa ufupi ukiwa wakili kwa sehemu kubwa ni wapinzani, na tunawachukia kweli kweli maana mnapindisha ukweli. Mfanio ni huyo rais wenu mwizi na mnafiki lis, anapewa hela na wazungu ili aichafue serikaliKama wewe umezoea kujifanya, si wote. Mimi ni Mwanasheria na Wakili kweli. Si maigizo kama yako.
Haya Mkuu, pumzika na usisahau dozi yako. Siku njema!Hahaha, ninyi wanasheria mmekuwa chanzo cha kujifanya kuipinga serikali kupitia huyo mwenda wazimu wenu lis. Eti mnajiita mawakili wasomi. Yaani mnajifanya ninyi ni zaidi ya serikali. Kwa ufupi ukiwa wakili kwa sehemu kubwa ni wapinzani, na tunawachukia kweli kweli maana mnapindisha ukweli. Mfanio ni huyo rais wenu mwizi na mnafiki lis, anapewa hela na wazungu ili aichafue serikali
Halafu hakuna mwenye ubavu wa kumuondoa hapo chadema. Mbowe akithubutu yatatokea makubwa kwenye chadema zaidi ya yaliyotokea CUF kati ya Seif na Lipumba. Ndani ya chadema over 80% ya wanachama ni pro Lowasa. Chadema itameguka vipande viwili:Wewe unadhani akishaondoka Lowassa kuna Chadema tena hapo?!!!!