wanafanana sana
huyo ndiye rais na sio mwingine
wanafanana sana
Mkuu Utekelezaji wa ahadi unategemeana na Raisi aliyeko mdarakani kwani ilani ipo siku zote ila utekelezaji unategemea msukumo wa raisi. mangapi hayapo kwenye ilani lakini yametekelezwa kwa sasababu ya riasi kuona umuhimu wake. Kila jambo linawezekana ni mipango tu, Libya walikuwa na wanatoa pesa kwa kila kijana aliyekuwa anaoa kwa ajili ya kuanzia maisha enzi za gadafi baada ya raisi huyo kupita sasa hivi ni historia tu.Wewe ni mwehu, Lowassa anaanda sera zake binafsi kwani kawa mgombea binafsi ? Atatakiwa kutekeleza sera za CCM ......
Kwa Lowassa everything is posible aisee, usicheze na jamaaa, duniani ogopa mtu anayeweza kuthubutu na kuchukua maamuzi magumu, mtu huyo ni hatari sana.
Mafisadi Kama wewe na kna makonda mnamuogopa lowasa cz mnamchafuaga na mnajua akshka nchi atawanyoosha mpaka mrudshe pesa za ghadafi na mafuta wanayouza na kula pesa za ewura na iptl...pia atakomesha biashara yenu ya sembe
Wenyewe wanasema ataingia Ikulu kwa gharama zozote, hata ikibidi kwa baadhi ya watu kama nyie kina Faiza kuchinjwa.Hakuna Waziri Mkuu muongo na mbabaishaji aliyewahi kutokea Tanzania kama Lowassa.
Alipoingia madarakani alianzisha mpango wake wa kutatua matatizo ya ardhi, akatupeleka mbio kupeleka documents zetu mwisho wa siku, hakuna kilichotendeka.
Huyo ana uchu wa madaraka na hafai kabisa.
Kumkabidhi nchi hii fisadi ni sawa na kuiuza nchi yetu.Ajibu tuhuma zinazomkabili na tujilizishe usafi kupitia utetezi wake bila kuwa na shaka.Pili atuambie hao marafiki zake wanaomchangia kila siku pesa anazogawa makanisani wananufaika na nini na kwa kutoa pesa hizo, Tatu pasipo shaka atueleze kwa nini alikuwa amwagi pesa toka zamani na kwa nini iwe sasa.Kuuza nchi yetu kwa mlanguzi haitowezekana kamwe.
Achana na hao akina "Lowassamaniac"...wakishasikia jina Lowassa basi na akili zao huamini kuwa mijeledi mingi yaweza kuamsha ngamia aliyekufa!
Hakuna Waziri Mkuu muongo na mbabaishaji aliyewahi kutokea Tanzania kama Lowassa.
Alipoingia madarakani alianzisha mpango wake wa kutatua matatizo ya ardhi, akatupeleka mbio kupeleka documents zetu mwisho wa siku, hakuna kilichotendeka.
Huyo ana uchu wa madaraka na hafai kabisa.
wanafanana sana
rais makamba akiendelea kupata baraka za wazee.
viazi chakula mkuu hebu mtafutie jina sawiaHahahahahaaa..............Serikali hii ya CCM inashindwa kutoa allowance kwa kazi za ziada za madaktari na wauguzi, leo hii iweze kutoa allowance kwa watu wasiofanya kazi?
Kweli kuna viazi nch
i hii.
Wasomi gani hao ambao wanaandaa sera ya kutoa posho kwa unemployed graduates? Huu ni utumbo mtupu na ni mvivu wa kufikiri ambaye anaweza kuvutiwa na sera potofu kama hii.
Kama wewe ni kijana, mtoto wa maskini, na huna kazi na huna mtu wa kukubeba ili upate ajira I am sure lazima utaunga mkono hili swala....ila naona kuna baadhi ya watu wana comment kwa kejeli hii inaonyesha kuwa wana ajira tayari hivyo hawajui uchungu na usumbufu wa kupata ajira kwa sasa....ngoja niwafumbue macho kidogo msijifanye kuwa hamuoni tatizo la ajira na jinsi wanaohitumi wanavyopata tabu kupata ajira hasa ukiwa huna mkubwa serikalini na mbaya zaidi hata kwenye ma NGO limeingia hili swala la kubebena.
-TRA waliitaji nafasi 4 wakaita watu 558
-Uhamiaji nafasi 70 waliitwa watu 16,057
-ustawi wa jamii (sekretariate ya ajira) nafasi 74 waliita watu 23,27
-ppf waliitaji nafasi 18 (jumla) waliita watu 896
-Pspf waliitaji watu 21 waliita watu 618
-NHIF nafasi 6 waliitwa watu 3964
Naomba kuishia hapo, nafkiri vijana watakuwa wanakumbuka hizo interview kwa machungu na hata wengine kulia, hii ni kwa sababu walikosa kazi sio kwamba hawana uwezo ila ni kwa sababu hawana ndugu zao katika hizo taasisi, vile vile wengine hawakuweza kutuma maombi, hivyo basi tunapopata mtu wa kubeba agenda yetu vijana bila shaka hatuwezi kumuacha kamwe......katika kudeal na hili swala ni kujenga na kuimarisha viwanda vikubwa na vidogo pamoja na extensive investment katika kilimo..
Wasomi gani hao ambao wanaandaa sera ya kutoa posho kwa unemployed graduates? Huu ni utumbo mtupu na ni mvivu wa kufikiri ambaye anaweza kuvutiwa na sera potofu kama hii.
Rafiki yangu , it pays to sit down and think.
Ikiwa kwa sasa serikali inshindwa kulipa madeni ya waalimu, makandarasi wa ujenzi wa barabara, allowance za wafanyakazi wa serikali, madawa ya hospitali nk, ndiyo leo hii itaweza kulipa allowance kwa waliokosa ajira.
Tafadhali naoma takwimu za
Creteria gani itatumika kugawa hizo allowances.
- Wanao maliza darasa la saba
- wanao maliza form 4 and 6
- Wanao maliza universities na vyou vingine
Hivi unaelewa ni nafasi ngapi za kazi zinzaweza kupatikana kwa mwaka visa vi wanaomaliza shule/chuo.