habari zilizotufikia punde zinasema madaktari wa lowassa waliopo ujerumani wamemshauri mgonjwa wao asiendelee na shughuli hiyo ya kuwania kwani inamchosha na kufanya ugonjwa wake umtafune kwa kasi.
Madaktari wamefikia uamuzi huo baada ya kuona hali ya mgonjwa wao anayesumbuliwa na ugonjwa wa parkinson inazidi kudorora kutokana na hekaheka za kuzunguka huko na huko kutafuta wajumbe wa kumuunga mkono kwenye harakati za kugombea urais.
Taarifa ya madaktari hao imepokelewa na mkewe lowassa mama regina ambaye alipokuwa nje ya nchi hivi karibuni.
Inasemekana mh. Lowassa alimtuma mkewe kwani yeye alikuwa busy kufitini mchakato wa kupata rasimu ya katiba akihofia ikipatikana rais kikwete atapata sifa.
Hofu ya madaktari ni kuwa suala mhe la degenerative urais linampa mhe. Lowassa stress ambazo zinafanya ugonjwa wake wa parkinson usambae kwa kasi zaidi.
Ugonjwa huo unaoshambulia na kuua mishipa ya fahamu na misuli ndio pia unaomsumbua bondia mashuhuri wa zamani mohamed ali.
Kwa sasa mhe. Lowasa amefikia hali ambayo hawezi kuandika au kunywa supu au uji kwa kijiko kwa vile mikono yake inatikisika sana.
Madaktari wanasema akipuuza ushauri wao basi ifikapo the mwezi wa sita mwakani atashindwa hata kutembea mita mia moja.
Baadhi ya madaktari bingwa wa tanzania niliozungumza nao kuhusu taarifa hiyo wanasema walikuwa wanafahamu ugonjwa unaomsumbua mhe. Lowassa ambao yeye anafanya siri kubwa kwa vile dalili zipo na kwamba alikuwa ananunua dawa zake katika duka la madawa lililopo oysterbay hotel, dar es salaam.
Taarifa hiyo ya madaktari bingwa wa ujerumani imepokelewa kwa uchungu na mhe. Lowassa mwenyewe, familia yake na watu wake wa karibu.
Inaelezwa kuwa mhe lowassa anazidi kupata vikwazo kufikia ndoto yake mahala baada ya kushambuliwa hivi karibuni na mwwnyekiti wa ccm mwanza mhe antony diallo kuwa yeye ni fisadi na anasubiri kumuumbua akijitokeza rasmi kugombea urais.
Stay tune for more information.
Condoms at work. Ni aibu sana kutumiwa.
Tofautisha damu na maji endelea kumpa moyo Lowassa ni sawa kuijazia maiti damu ili ifufuke wakati haiwezekaniMbona Kikwete ana kifafa lakini amekuwa rais kwa miaka kumi?
Magamba mnachekesha sana , mnashauriwa na madaktari
Wa ujerumani juu ya ugonjwa wa lowasa lakini matusi anapewa Membe ( mtu ambaye hata kampeni meneja wake hajulikani ! ) Sasa nimeamini kwamba CCM ITAKUFA RASMI 2015 Kama alivyotabiri Makongoro Nyerere .
Kuna watu wako tayari Mh. Lowasa aitawe Tz hata akiwa kitandani.
Mmmh! I reserve my vote mpaka nishawshiwe kwa sera, hizi ngonjera za humu ni ngumu kujua nani mkweli nani muongo!
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Japokuwa napenda ujasiri wa lowasa, na him being a pro-active and decisive Leader, Inajulikana wazi kuwa huyu Kiongozi anamatatizo ya kiafya, lakini lazima tukubaliane ya kuwa yeye ni JEMBE.
Ili kufidia pengo atakalo liacha Lowasa asipogombea na kuwafidia wana ARUSHA , basi CCM iteue kiongozi mwingene Jimboni hapo, anayekubalika na waTANZANIA wengi ambaye ataweza kupeperusha bendera ya CCM Taifa na kutuletea ushindi. TEAM Lowasa tuleyeni Mfugaji shupavu na mwenye maamuzi.
Hizi akili za vijana wa WAMA ni janga katika taifa....hata iweje Membe awezi kuwa rais wa nchi hii kamwe na kamwe.....mlifatilia ripoti ya afya yake mkagonga mwamba sasa mumekuja na hili....mburulazzzzz kabisa na tatizo lenu hamna mbinu za kampeni kabisa