Lowassa ashauriwa asigombee urais


hellow bibie, naona umeamua kuja na ID mpya, kifupi sion uhusiano wa ugonjwa husika na Lowassa kugombea urais, pia cdhan kama Lowassa alishawah kutangaza kugombea urais, pia niliwaona jana kwe kikao na mabwana zako mkipanga mikakati ya kumchafua Lowassa, stay tuned binti takuja kuanika madudu yako yoote, bado mda mchache!!
 
Nchi inajiandaa kumpokea rais lowasa ikulu mwakani
 
Lowassa alisafishika lini na tuhuma lukuki???
Ni kwa nini baba wa taifa alimkataa hadharani???
Au zote zilikua ni siasa majitaka???
Kweli watanzania sisi ni wasahaulifu...
Je mwahitaji awe raisi kwa uadilifu gani???
 
Kuna watu wako tayari Mh. Lowasa aitawe Tz hata akiwa kitandani.
Mmmh! I reserve my vote mpaka nishawshiwe kwa sera, hizi ngonjera za humu ni ngumu kujua nani mkweli nani muongo!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Mkuu hawa majamaa wa WAMA wanahangaika sana na kutunga mambo ya ajabu ajabu...ni kuwapuuza tu ndio dawa yao kama ulivyowapuuza

Its not only WAMA, watanzania through his forums tumeacha kufocus kwenye real issues za watanzania na kukomalia ushambenga wa kisiasa

We ahve serius issues
 
Hizi propaganda mufilisi zinatia kichefuchefu. Hata kama Lowassa anaonekana hana sifa stahiki za kugombea uRais wa JMT, tusifike mahala sasa kuanza kuzusha vitu visivyokuwepo ili mradi tu watu wenu waliowanunua waonekanE ndio wanafaa.
 
Hii imenikumbusha yule Rais wa nchi moja ya north Africa aliyeletwe kwenye wheelchair kuapishwa kuwa rais wa nchi hiyo.
 
Hizi propaganda mufilisi zinatia kichefuchefu. Hata kama Lowassa anaonekana hana sifa stahiki za kugombea uRais wa JMT, tusifike mahala sasa kuanza kuzusha vitu visivyokuwepo ili mradi tu watu wenu waliowanunua waonekanE ndio wanafaa.

Umenena vyema mkuu, hawa vijana wa WAMA ovyoooo kabisa, wanasikitika kuona mgombea wao anaepigiwa chapuo na mke wa rais Hauziki, so njia wanayoona inafaa ni kuleta kashfa, na matusi kwa watu wengine
 
One thing is very clear now...EL is the strongest candidate in CCM..

Nimeona asubuhi ya leo star TV Dr Kigwangala na Msukuma wanahangaika na propaganda za kumponda EL...Na hapo EL yeye hajatamka kama anautaka huo URAIS wanaotaka kumnyima...Na bado, mpaka kufika 2015 mtasema yote...Na ole wenu EL aupate urais, mtahama...Si mnajua huyu laigwan asivyo na aibu....lazima awavue nguo mchana kweupe...
 
Wapo watakao farijika na habari za kutengenezwa kama hii! Siasa za maji taka sio deal, twendeni na ukweli tu. Tumwambie EL kuwa wapo watu ambao hawapendi ugombee urais. Na ikiwezekana tuwe na opinion poll kupata ushahidi wa yeye kutokukubalika. Hizi porojo mjue zinamuimarisha sana tu
 
Mbona Kikwete ana kifafa lakini amekuwa rais kwa miaka kumi?
 
Duh majungu mengine ni zaidi ya fitina iliyotukuka. Ugonjwa wa mtu unakuhusu nini kuusambaza mitandaoni?
 

Kwani ugonjwa anasingiziwa? Kwa ufupi ni mgonjwa asitake kututia hasara sisi! Kama urais mbona iko wazi kwamba anautaka!! Eti unatuzuga kwamba hajatangaza, kwani kuzunguka kote huko ni bure? Au ulitaka akutangazie akiwa juu ya kin.na cha mkeo ndo ujue kwamba anautaka?
 
Ni mawazo yako haijalishi umeyatoa muda gani ila kwa kuwa unauhuru wa kuongea bila shaka umelitekeleza kwa ufasaha
heshimu mawazo yangu mtu mchafu kama Lowasa hatuwezi kumchagua kuwa raisi WA TANZANIA bora tumchague hata Lema kuwa raisi WA TANZANIA 2015 kuliko fisadi wa ccm LOWASSA
 
lowassa ndio next president,hutaki unaacha

hatuwezi kumchagua fisadi lowasa kuwa raisi labda raisi wa monduli siyo raisi wa tanzania mtahangaika sana hatafanikiwa kamwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…