Lowassa ashauriwa asigombee urais


Unaongea kama umepumuliwa kisogoni...
 
dah siasa bana mtu anaumwa wengineh wanafurahia Mungu yupo mie nimtakie heri mh lowasa kama Mungu alipanga awe rais atakuwa tuu
 
Wewe unakuwa chizi! Matokeo ya vipimo ni siri ya daktari na mgonjwa, taabu ya kutumiwa unakuwa condom, bora hata mbayuwayu!
Hahahahahahaaaaaaa! Eti ni siri ya mgonjwa na daktari! Mbona ugonjwa wa Ebola kila kona unatangazwa?
 
Membe mwenyewe hauziki hata kwa dawa kabaki tu kufanya majungu na fitina serikalini......tokea lini mke wa rais atuchangulie rais wa watu millioni 45, never on earth...

Huyo mke mwenyewe hata mtihani wa form four alifeli na Enzi hizo hakuna division five...

Akili ndogo za WAMA noma Sana, saizi wanatumia style ya tukose wote.
 
Umesomeka Mkuu
 
Uchizi mwingine balaa! 5M nayo hela. Shz type muulize mzee wa vijisenti akwambie mamilioni yanaanzia shilingi ngapi?
Mkuu hawa vijana wa WAMA wajinga sana, badala ya wafanye kampeni na kueleza watanzania Membe kalifanyia nini taifa hili wanakuja na issues zao za kupika kila siku, kama huyu dogo kichwani hana kitu anatumiwa ovyo ovyo wakati hata ajui mustakabali wa maisha yake, shule alifeli yeye anaingia katika mambo ya uongo uongo as if yeye ndio mke wa lowassa mpaka atoe ripoti ya afya yake...kuishi na mashoga kazi sana....
 
Huyo mke mwenyewe hata mtihani wa form four alifeli na Enzi hizo hakuna division five...

Akili ndogo za WAMA noma Sana, saizi wanatumia style ya tukose wote.
Yaani kama mnafikia hatua ya kupinga ripoti ya daktari basi nyie mtakuwa mmerogwa
 
Kindom!

Sent from my SM-G800H using Tapatalk
 
Mkuu, hata kama utakesha humu JF kumtetea bosi wako Lowasa, hutaweza kubadili alichopanga Mungu. Ndo hivyo tena. Ugonjwa ushakolea
 
Hahahahahahaaaaaaa! Eti ni siri ya mgonjwa na daktari! Mbona ugonjwa wa Ebola kila kona unatangazwa?
Mke mwenza wa Nyalandu upo? Nasikia mume wenu Charles Dunken anakuja leo bongo...
Source...Aunti Ezekiel
 
Mkuu, hata kama utakesha humu JF kumtetea bosi wako Lowasa, hutaweza kubadili alichopanga Mungu. Ndo hivyo tena. Ugonjwa ushakolea

Kama miungu yenu ilivyopanga muwe wazeee wa kugawa 071333333333, manake kambi yenu ndio sifa yenu kubwa, kuna nyalandu, wewe, huyu dogo Allan wa pale migombani regent estate
 
Mkuu, umechoka kumtetea Lowasa?

Nimtetee kwa lipi wakati uchapakazi wake na utendaji kazi wake unamuuza as days goes....wambieni mama salma awabadilishie strategies mkizidi kuja na hizi mnazidi kuporomoka tu mpaka mtazidiwa na Kigwangala..."Last month report ya redet naona imewapendelea kwa kuwapa nafasi ta 5 out of 7
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…