Lowassa ashauriwa asigombee urais

Majibu kapewa Mke wa Lowasa, na wewe ndio unatuandikia humu mtandaoni. Sasa hapo mke wa Lowasa ni nani? Napata wasi wasi kidogo

Hahahahah umemaliza kila kitu chief, kumbe huyu Allan naye ni mama lowassa hahahahha, swali zuri sana aiseeeee, big up sana.....kweli we ni GT
 
Jamani nasikia mzungu Charles Dunken kaingia bongo jana, kafata serive baada ya ngenye kumpanda je wajua mtu wa kutoa hiyo serive?
 
I wish angekuwa na uelewa kidogo labda angekupata... Membe, Sitta, Dialo et al watahangaika sana lakini LOWASA ni zaidi ya Mwamba GEU! ... Besides wangekuwa wanajielewa wangeelekeza nguvu zao kumnadi Lowassa ... MKapa kusini! Kabla machungu ya kuuawa kwa Baba wa Taifa hayajaisha, tukashuhudia uuzwaji holela wa Rasilimali za nchi kila kona!!! Grrrr ... Leo hii tunaugulia mikataba mibovu ya Mkapa eti ....Membe mnataka awe Rais!..... Is he a presidential material? Membe hana kigezo hata kimoja cha kuwa kiongozi wa nchi hii...
 
Siyo bure wewe umetumwa na kachero Membe!
 
Acha upuuzi wako ww, ameujua ugonjwa wa Lowassa kama nani wake? Unafahamu miiko ya Udaktari ww mbulula? Mbona wewe Mgonjwa wa siku nyingi na habari zako hazijasambaa humu Jamvini? ... Hao mnao wanadi mbona wana mingwengwe category A?...
Unachopaswa kufanya ni kushukuru mleta mada kwa kukujuza ugonjwa wa Lowasa.
 

Wewe unakuwa chizi! Matokeo ya vipimo ni siri ya daktari na mgonjwa, taabu ya kutumiwa unakuwa condom, bora hata mbayuwayu!
 
Mbona watu mna roho za mashetani?? Hivi wewe ni nani? Hata akiugua hawezi kuwa sawa na huyu kila wakati anadondoka majukwaani mnamlisha glucose!! acheni jamani!! Huyu alikuwa POWER HOUSE ya mzee wa kucheka kidemu kidemu ndiyo maana toka aachiwe nchi inayumba kama ngalawa ya muhogo!!
 

Chabruma umerudi kivingine! Hahahaha!
 

Mkuu huyu dogo ni mtoto wa mzee Kiluvia wa Migombani Street,Regent Estate? Pili ni kweli huyo waziri anajihusisha na mapenzi ya jinsia moja?
 

Uchizi mwingine balaa! 5M nayo hela. Shz type muulize mzee wa vijisenti akwambie mamilioni yanaanzia shilingi ngapi?
 

Rusha tupicha tote Halafu rudi tukukome nyani jiradi!
 
Ukweli mchungu. Masikini 'wake' wa E.N.Lowassa. Huyu bwana kaiharibu kabisa media kwani wahariri wengi wako mfukoni mwake. Is'nt right ABOUBAKAR LIONGO?! Mtanzania anataka urais wetu kwa hela! Amezipata wapi? Kama kakopa atalipaje? Lowassa ni mkosi! Akachunge mbuzi. Basi!
 
Pesa anazoonga makanisani wewe huzioni?, yeye kama mtumishi wa umma hizo pesa kazitoa wapi?, kama hizo pesa anapewa na marafiki zake, atawafanya nini hao marafiki zake iwapo watakwepa kodi wakati yeye akiwa Rais?

Think critically
Nyie hovyo kweli. Kuna shida gani kushawishi watu kuchangia miradi ya maendeleo. Nacho waomba waliochanganyikiwa na mipango kabambe ya Eduward ya kuwania Urais waache kuzusha uongo badala yake wazidishe ubunifu ili mikakati yao iwe na tija zaidi.
 
magamba mtararuana sana mwaka huu.
Ila Lowasa hawezi kuwa rais hata wa ngarenaro.
 
Unachopaswa kufanya ni kushukuru mleta mada kwa kukujuza ugonjwa wa Lowasa.

duuuuhhh!!!!! hata wewe!!!???? kweli nimeamini ccm chama dume lenye majike kemkem!!!! anyway......la kuvunda halina...desh-desh-desh!!!!! aje na mwingine atujuze gonjwa la j f na b m na 6 na.. . . !!!
 
Mkuu huyu dogo ni mtoto wa mzee Kiluvia wa Migombani Street,Regent Estate? Pili ni kweli huyo waziri anajihusisha na mapenzi ya jinsia moja?

Ni kweli kabisa kaka na jamaa anayepiga anaitwa Charles Dunken ni mmerekani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…