Nkundwe Sr
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 6,132
- 9,282
Kumbe ukiwa unafanyia ITV kusema ukweli ni dhambi
Maana wewe ni mzima sana..utaishi milele.na ushachek afya yako ukajiona mzima?kabla hujafa hujaumbika..make jokes about other stuffs but nt about health status ya mtu.wengine marehemu watarajiwa hata hamjijui kazi kumsema lowasa lowasa..mumuache ndo tushampenda sasa
Lowasa ni binadam km wewe na mimi. Kumpenda binadam mwenzako ni jukumu ulilo agizwa na Mwenyezi Mungu. Lkn Lowasa kwenye uongozi CCM kakaa muda gani? Na kafanya nini? Maana CCM ni watu kwahiyo akina Lowasa na wenzake ndo wametufikisha hapa.
Hapa anachofanya ni kutuchezea akili ili aendelee kutuongoza/ kutupeleka kubaya zaidi.
I say NO to HYPOCRISY! Angefanyia mabadiliko huko huko CCM ningemwona wa maana zaidi. Nina kura moja nitaitumia vizuri!
Hali ni tete ndani ya kituo cha ITV kufuatia kuvuja kwa video zinazomuonyesha mgombea wa Chadema Edward Lowassa akiwa kwenye hali ya udhoofu.
Mtoa taarifa ambaye ni mtangazaji wa ITV anasema, mmiliki wa kituo hicho Reginald Mengi baada ya kulalamikiwa na Lowassa juu ya video hizo ambazo zimesambaa kwenye mitandao ya kijamii, alitaka wote waliohusika kwenye utayarishaji wake wawajibike.
Anasema uandaaji wa matangazo hayo ya Lowassa ambayo yameanza kurushwa na ITV, yalichukua muda mrefu kuyaandaa ambapo Lowassa kutokana na hali yake ilimlazimu kurudia kila mara na wakati mwingine alionekana kushindwa kuongea na kukohoa sana.
Video hizo ambazo alishindwa kuongea ndo zimesambazwa na kumkera Lowassa na kukosa imani na ITV kituo ambacho inaelezwa alianza kukilalamikia kwa kupunguza habari za mikutano yake.
Mtoa taarifa anasema tayari baadhi ya watendaji wamesimamishwa kazi kwa kitendo cha kusambaza video zinazomdhalilisha Lowassa na kuonyesha udhaifu wake ambao Chadema wanajitahidi kuuficha.
Umetisha kwa mahabaHata kama angekuwa mgonjwa wa kufa tarehe 26th Oct, mimi nitampa kura tarehe 25th Oct.
Wacheni kumkufuru Mungu kwa kumwita Lowassa mgonjwa kama nyiye ndiyo mliomuumba.
Jiulize swali moja tu la msingi ni kwa nini wagombea wengi wanaoonekana kuwa wako fit sana ndiyo wanapukutika na kumwacha Lowassa ambaye anadaiwa kuwa mgonjwa?
Hiyo inatuonyesha namna Mungu anavyotuonyesha utukufu wake mkuu.
Rais wetu huyo akuna anaye weza badilisha
na mama yakoRaisi wako usiseme wetu na nani?
na mama yako