Lowassa asababisha timua timua ITV

Yeye anagombea urais ndio sababu, cheo cha mwisho kabisa, kwa ugonjwa wake anaweza hata kuamuru makombora yavurumishwe ...

Si kweli..japokuwa akishinda ndio atakuwa Raisi lakini sio kwamba kila jambo ataliamua yeye,kuna jopo la washauri,hawa ndio umshauri Raisi nini cha kufanya,,Kama angekuwa na akili hiyo ungekuta kashatukana majukwaani huko CCM wote na Watanzania.matokeo yake hao tunaowaona estimates wa afya ndio wanaporomosha mitusi ,wakimtukana na kumdhiaki mbele ya watoto wadogo.kumbuka mgonjwa huyu ndio tokea siku ya ufunguzi wa kampeni alisema,atafanya kampeni safi ,sio za dharau,matusi ,na kashfa..mpaka leo hii zimebaki siku chache ,ajawahi kutoa kauli yoyote mbaya..Sasa inatuonyesha sisi huyu ndio Kiongozi bora
 
Kwa Mujibu wa Sheria na Kanuni za Maadili Hutakiwi kufanya kampeni siku ya uchaguzi

nina wasiwasi ukikutwa unapiga push up siku ya uchaguzi tena iwapo itakua ni karibu na kituo cha kupigia kura ni kama utaonekana unaashiria/unampigia debe/kampeni mgombea fulani

Kuwa makini
 

Amina ndugu yangu. Maneno ya hekima sana ingawa kwa watu wajinga wanaopotea kwao ni upumbavu.

Vv
 
Wote wanaomwambia Lowasa MGONJWA, baba mama wajomba wakubwa kwa WADOGO ktk familia yako je ni wazima? Nawe je, let our Might GOD JUDGE NOT YOU!!!
 

Hiyo ndio sababu kuu inayonifanya nimpe kura Lowassa nitampa kura yangu na familia yangu nimeishawishi iko tayari kumpa ED
 
ikulu sio mahari pa kubeba zege hata mgonjwa anaweza mbona kazunguka nchi nzima na yuko safi jaribu wewe kama hujaumwa sio mchezo unabadilu hali za hewa zote mwili unaweza stuka
 
Jamani angalieni mwanza huku leo Magufuli amefunika.tuombe Mungu yasitokee madhara ya watu kuumia.
 
Umewah kufikiria kuwa ipo siku!Lowassa atasema mtu fulani ni fisadi nchi hii?
 
Nawe siku hiyo usibebe pampasi ukapita karibu na kituo cha kupigia kura.
 
Nakakumbuka haka kawimbo 'wakati umewadia wasalama za wagonjwa ' zi zilee!
 
huyo hatufai kabisa, rais gani huyo? anayeingilia hadi kwenye private sector na kutimua watu kazi! hapo hajawa rais je akiwa rais tutapona! FUNGUKA
 
Uzima na mauti vyote viko mikononi mwake mola. KURA yangu ni kwa LOWASSA.

Nakuomba WEWE unayesoma thread hii pamoja na FAMILIA yako na RAFIKI zako tumpigie LOWASSA kura hamtojuta kamwe kumchagua LOWASSA.
 
Naface huwezi kumtoa Mengi nje ya reli kwa urongo wako huu. hizo picha uzione wewe tu, wewe peke yako wengine wote tusizione halafu utudanganye ati ITV wametimuliwa. ndorobo kweli wewe. ITV iko imara na inafuata maadili pamoja na maelekezo ya NEC na TCRA kutoa fursa sawa kwa wagombea wote. sio ninyi na star tv yenu mnaompendelea magufuli.
 

ndesambura hajui analoliongea. Leo amemweka MTU Wa shairi ili amtukane lwassa . hiyo in udhaifu Wa kisiasa. na sisi hatupendi matusi hivyo. tutampa huyu wanayemtukana na yeye hujibu. Muñgu ambariki sana kwa karama hiyo atamlipa tu
 

hii misaba mliyoipata bado haijawa fundisho tu?ok mtapata pigo lingine kubwa zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…