Ni kweli si vizuri kufanya utani na maradhi ya mtu maana si ujinga wake kupata hayo maradhi na wala mtu si ujanja wake kuwa na afya. Lakini linapokuja suala kama hili la urais, lazima watu tulitizama suala la afya yake maana anataka kuwa kiongozi wetu hivyo lazima tuhoji je,ataweza kuongoza kwa hali aliyokuwa nayo? Laiti Lowasa asingejishughlisha na suala hili hakuna ambaye angekuwa anazungumzia afya yake leo,lakini kwa kuwa anataka awe kingozi mkuu wa nchi hivyo suala la afya yake si la kwake yeye na familia yake tu.
Hivyo si sahihi kutisha watu kuhoji afya yake maana anataka kuwa kiongozi mkuu.
Hutudanganyi kitu.tutamchagua lowassa akafie hukohuko ikulu kuliko hili pombe za makufuli ya john
Utamchagua wewe na utaahira wako. Ivi anakaguaje gwaride kwa mfano?
We lofa unajua kilitokea nini jana Tunduma au ndo shabiki oya oya? Tuna wiki moja tu kuihakikishia dunia kuwa average/majority ya watanzania siyo mataahira
Mbona mwai kibaki aliapshwa kuwa rais akiwa mgonjwa hatembei nyie VP muacheni mzee wawatu
kwani lowasa miezi mitatu iliyopita alikuwa chama gani..hebu jiulize angepita kwa ccm ungekuwa unaongea nini sasa hivi..fikiria kwa kichwa sio viroba
Kibaki aliumia kutokana na ajali, nikuongeze mfano, hata mkapa alivunjika mkono akiwa raisi but thats too irrelevant. Hakuwa anatetemeka hovyo, wala hakuwa anajinyeanyea. Hivi unaweza sema mtu hafai kuwa raisi kwa kuwa kavunjika mguu au mkono? Hapana, hata malaria, hata HIV, lakini siyo AIDS, siyo kwa ugonjwa usiopona na unaoathiri kazi za raisi ie. mkuu wa nchi, kiongozi wa serikali na amiri jeshi mkuu
Soma content, mimi team Lowasa hata angekua ICU anamwandika Magufuli email mimi nampigia kura
Mkuu cha ajab et vipaza sauti havifanyi kazi kwa edo ila kwa mbowe vinafanya kazi...
Yaan wanatufanya tz wote mazuzu, kwa kwel edo hajiwezi ila basi tu wanalazimisha