Lowassa App for team lowassa

Lowassa App for team lowassa

Mmmh siasa za Bongo zilipofika .......
 
Hivi huyu mtu anauhakika gani CCM itamchagua yeye agombee kuwa president ???
 
mtu haipendi ccm lakini anamkubali EL mim hapo ndiyo nashindwa kuelewa! bora ccm waendelee kuongoza nchi tu raia huku tumeshajichokea na tumeshakuwa sugu
 
mtu haipendi ccm lakini anamkubali EL mim hapo ndiyo nashindwa kuelewa! bora ccm waendelee kuongoza nchi tu raia huku tumeshajichokea na tumeshakuwa sugu
suala sio chama, suala ni mtu. wewe inaonekana hujielewi!

Join Date : 18th January 2014
Location : New York Near White House
Posts : 523
Rep Power : 455
Likes Received: 135
Likes Given: 20
 
Hivi huyu mtu anauhakika gani CCM itamchagua yeye agombee kuwa president ???
Ndo tayari hny keshaanza, uhakika ni mkubwa maana JK hana la kufanya zaidi ya kutegemea wazee kama Msuya waingilie kati EL asigombee.
 
suala sio chama, suala ni mtu. wewe inaonekana hujielewi!

Join Date : 18th January 2014
Location : New York Near White House
Posts : 523
Rep Power : 455
Likes Received: 135
Likes Given: 20

Tuambie wew unaejielewa umeelewa nini! halafu punguza stress kichwani naona zako zimehamia tumboni!
 
Hangaikeni na afya yake kwanza maana juhudi zote mnazofanya itakuwa bure kama wale watabiri wawili waliotabiri kuwa mgombea mwenye afya mbovu atafia jukwaani utabiri wao ukawa kweli.

All in all CCM patachimbika, Laigwanan amejipanga
 
kwa kometi yako hii kweli nimeamini wewe ni msukuma mchunga kondoo, ambaye bado una tongotongo

hapo kwenye rangi nyekundu... Maana nikisema red hutaelewa... Hapo panaandikwa komenti au kwa kiingereza ni comment.. Sawa wakuja mwenzangu...??? Mwenzio nimesoma kidogo..
 
ujinga tu huu mwizi huyu anajisumbua tu.
 
hapo kwenye rangi nyekundu... Maana nikisema red hutaelewa... Hapo panaandikwa komenti au kwa kiingereza ni comment.. Sawa wakuja mwenzangu...??? Mwenzio nimesoma kidogo..

Natamani nikutafute ili nikuone, na huo usomi wako unaojiita umesoma ili uje ujionee tofauti iliyopo kati ya mimi na wewe, naona kuanzia hiyo siku utaacha kabisa kujifananisha na mimi.
 
Hangaikeni na afya yake kwanza maana juhudi zote mnazofanya itakuwa bure kama wale watabiri wawili waliotabiri kuwa mgombea mwenye afya mbovu atafia jukwaani utabiri wao ukawa kweli.

All in all CCM patachimbika, Laigwanan amejipanga
Lowasa anazingua mkuu jamaa mgonjwa tapeli mwizi na fisadi halafu anataka awe kiongozi aende zake pengine akawe kiongozi wa baraza la wazee wa monduli.
 
Watu wanmeshajua kuwa nchi haitaweza kuwa kwenye mikono misafi hio kitu watu wanadhani kuwa haiwezekaninsasa solution wanaona ni bora wampe fisadi ambaye ana afadhali
 
Back
Top Bottom